Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya

nasemaje 😂😂nikiolewa mume wangu akinunua tu gari ntawaletea ushahidi😂😂😂 ila nikinunua langu ntapeleka car wash sitakua na muda wa kuliosha mwenyewe
Sasa si mpaka uolewe 😅
 
Mi nmemiliki gar tangu mwaka 1998 nikiwa mtoto ad leo hii ayo unayosema yanaweza kua na ukwel au hapana
Mi nilichojifunza ni kua na sehemu chache zakuoshea gari zako kwa mfano mm nina hesemu 3 zakuoshea gar zangu na miaka yote huwa naoshea izo sehemu so wananijua na wananieshimu,

ila ninapokua mikoan huwa najitaid sana kukaa apo apo ad gar yangu ioshwe zeni niondoke nayo

Mi nazan tujifunze kua na sehemu maalumu zakuoshea sio tu ukiona gar chafu bas unapeleka car wash yyte apo ndo mattzo huanzia
 
Lakin pia tujifunze maisha ya ukuda ata wazee wetu wanafanikiwa sabu ni wakuda mda mwingne maisha ya kidikteta, kikoroni na kikuda yanasaidia sana
osha gar yangu ila funguo sikupi ukitaka kusogeza mbele nakusogezea mwenyewe kufungua buti na bonet nyote nafunga mwenyewe
 
Pimbi yule aliniibia shuka la kimasai wkt na tip nilikua namuachia Na nikaja kukutana nae ziwa duluti amelivaa.
Kuna umuhimu sana kuosha sehemu za maana.. mie sahivi nipo makini na kuna baadhi ya vitu naviacha maksudi kuendelea kuwapima imani..
 
Sawa Tajiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…