Ukíwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

Upo sahihi lakini kwa dunia ya sasa ni wachache sana mkuu, wengi ni pasua kichwa wanachoangalia ni wao wananufaika vipi? Awe nawewe maisha yake yaende, madeni yalipike, michezo/vikoba gharama zote ni wewe. Akiona ugumu anakukimbia.
Dunia haijabadilika mkuu hasa kitabia kwa wanadamu
Tangu zamani kupata mke bora ni suala gumu.

Ndio maana Suleiman alihitimisha mke mwema anatoka kwa Bwana.

Kusema wanawake au wanaume wa siku hizi hivi au vile hakuna tofauti na mtu asemaye maisha ya siku hizi magumu kuliko ya zamani jambo ambalo sio kweli
 
Sahihi kk
Kuna muda wanaume tunafanya mambo ambayo yanawainua wao na kutudidimiza sisi na mwisho wa siku hali inakuwa mbaya kwetu.

Kuna jamaa alikuwa anamlipia ke wake hela za vikoba na michezo, anatoboka haswa kila wikiendi akiamini yupo sehemu salama, ke kaja kupokea hela kafungua biashara kamuacha mwamba anasema sio type yake. Matukio ni mengi sana.
 
😂 😂 😂
Halafu Bwana Mwenyewe ndio Mimi sasa
 
Ukubali au ukatae mambo yamebadilika, zama zimebadilika na maisha yamebadilika. Mfano mdogo tu miaka 50 iliyopita hatukuwa na maendeleo ya teknolojia kwa kiasi hichi, huwezi ukasema hakuna mabadiliko ya kitabia.

Kumpata mwenza sio swala jepesi na halijawahi kuwa jepesi ila kwa zama za sasa ni ngumu zaidi ukilinganisha na zama za kina mzee Grahams za mwaka 47. Mzee shikamoo.
 
😂 😂 😂
Robert Heriel Mtibeli Mimi nipo below 40 Alafu kuna Lishangazi lipo between 40-45 limenielewa sana nafanyaje? Japo lina watoto watatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…