Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Sio Kila jambo Umwambie mtu. Mafanikio ni siri.Naomba utoe maoni yako tafadhali.
Ukifanikiwa mnafanikiwa wote, ukifeli unafeli mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Kila jambo Umwambie mtu. Mafanikio ni siri.Naomba utoe maoni yako tafadhali.
One of the best commentSio Kila jambo Umwambie mtu. Mafanikio ni siri.
Ukifanikiwa mnafanikiwa wote, ukifeli unafeli mwenyewe
Nimechoka kabisa🤣🤣🤣Dah mashangazi kazi tunayo!kwa hiyo watoto wa kaka zetu wanatuona sie wachawi alooooooh
Mimi mwenzenu mama nimemjengea mpaka nyumba nikamfungulia biashara lakini ndio mtu anayeongoza kulaumiwa,kulaaniwa na kuwekewa kinyongo kuliko wote.Kuwa uyaone ndugu yangu,yaani ukoo wa mama unalaana mpaka nimeamua kuwaambia wote mpaka wajomba.Yaani unakuta jitu limeharibu maisha yake lenyewe halafu linataka na wewe uharibikiwe wakati umeepuka makosa yote ya kimkakati ambaye wao waliyafanyaUkitaka kufanikiwa funga kabisa mdomo wala usimwambie mtu yeyote jambo lako.
Tena kama hawa wanaojiita WAZAZI kuna baadhi yao ni wabaya sana na wana sumu kali.
Au uwe unaongea nao kinyume nyume..... waambie mambo yako ni magumu sana, huna kazi, hujafanikiwa kila kitu kimevurugika........ HIZI NI MBINU ZA KIVITA
Wengine wachawi au wanatembea na mashetani ambayo yanaweza kukuvuruga mbaya sana.
Au kile KINYONGO na KIJICHO alichonacho dhidi yako kinaweza kukutia NUKSI KALI.
Mimi nimewachana ukwweli kuanzia mama mpaka wajomba kwamba "nyinyi ukoo wenu una laana mnakazania mambo ya mizimu sijui MASWEZI halafu maisha mabovu wote,kama hiyo mizimu inamaana mngekuwa na maisha mazuri"kumbe nipo sahihi ku-walk in the shadow
Kazi tunayo🥲🥲🥲Nimechoka kabisa
Mama yako mzazi au huyo mama yako wa kambo ambaye alikua house girl..!!Mama yng aliwahi mwambia mwanamke wng eti aibe soksi yng ambayo nimeivaa na haijafuliwa au nguo ambayo nimevaa na haijafuliwa ampelekee sjajua mama alikuwa na lengo gn at all bt anaamin sn waganga.
Aisee pole sana, jitahidi kuondoa hiyo hali au omba ushauri bila hivyo utasababisha maisha yawe magumu pasipo na sababu ya msingi, na mara nyingi mtu unayemchukia pasipo sababu huwa ni wa maana kwako hapo mbeleni.kuchukia watu iyo
ni tabia tu mtu Anazaliwa nayo mfano mm naweza kukuona nikakuchukia tu yaan sikupendi na sitak unisemeshe ipo ivyo sio kwamba mchawi mm no ila nimezaliwa.ivyo
pili yeye sio Mungu apende watu wotee
mimi wazee hawana shida, shida inaanzia ukiwaambia tundu zao sas ambao ni mashangazi,wajomba nkMimi nimewachana ukwweli kuanzia mama mpaka wajomba kwamba "nyinyi ukoo wenu una laana mnakazania mambo ya mizimu sijui MASWEZI halafu maisha mabovu wote,kama hiyo mizimu inamaana mngekuwa na maisha mazuri"
wanasema sharing is caringNi vigumu sana kunyamazia jambo. Nadhani unavyoamini ndivyo inavyokuwa . Nishajaribu kutowaambia watu na ikashindikana na nikawaambia ikashindikana. Na pia iliwezekana kwa kuwaambia na kutowaambia . Shukuru kwa Kila jambo . Ikifunguka inafunguka Kweli .
kuna mmoja simpendi kabsa ila kuna siku nilikwama nikamuomba lak na nus akanipa ilaa moyon simkubalAisee pole sana, jitahidi kuondoa hiyo hali au omba ushauri bila hivyo utasababisha maisha yawe magumu pasipo na sababu ya msingi, na mara nyingi mtu unayemchukia pasipo sababu huwa ni wa maana kwako hapo mbeleni.
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy
Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.
Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%
My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina
Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.
Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Mama yupo wapi? Anajua unachofanya? Mnawasiliana? Na je! Mama hana mawasiliano na wale watu upande wa Baba yako? Je! Mlizaliwa wangapi? Na vipi kuhusu ndugu zako mliozaliwa pamoja?stak hata kuwaskia walimtenganisha baba yng na mama tukiwa wadogo ksha wakamuunganisha house girl ndo akawa mke wa baba wkt huo mama alienda kujfungua mdogo wng wa mwsho uko kwao, hiyo hawakutosheka wakaungana na uyo mama wa kambo wakanigombanisha na baba mpk leo hatuelewan nliomba msamaha kwa kosa nislolijua mbele yao kna shangaz na ndugu wengne mzee akasema hana shda na mimi bt nlipomfata private akanambia ameshani delete nliaga pale home sjakanyaga sasa n zaid ya miaka 5 na nimeshaamua iktokea mzee ametangulia stakanyaga msiban wasje wakanimaliza maana watahisi nmefata urithi npo naendelea na maisha yng ndugu wote hata hawajui npo wp na nafanya kaz gn. Mashangaz n wachawi ogopa ila MUNGU NI MWEMA IPO SKU ATANILIPIA TU.
Ulikuwa msumbufu sana na mlevi we nae itakuwa... Huyohuyo demu wako alienda kupeleka malalamiko yako itakuwa, wakaamua wakakushughulikie kinyumbani uache ulevi, utukutu na uwe unagharamia hiyo manzi na Mama yako 😂👍Mama yng aliwahi mwambia mwanamke wng eti aibe soksi yng ambayo nimeivaa na haijafuliwa au nguo ambayo nimevaa na haijafuliwa ampelekee sjajua mama alikuwa na lengo gn at all bt anaamin sn waganga.
Ataheshimiwa endapo na yeye pia atakuwa anajiheshimu na kukuheshimu wewe.
Ila akileta dharau kwako, halafu atake wewe umpe heshima, huyo mzazi atakuwa mwehu.
Na hastahili heshima yeyote, unapaswa kudeal naye kulingana na ujinga wake.
Ukweli mchunguKwenye mafamilia ya kiafrika kuna mambo mengi sana,
Ni kujitahidi kufunga mdomo sana yani wakose taarifa, hii ndo dawa ya uhakika