Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Balaa.

Mimi niliwahi kwenda ugenini kwa mashangazi nikakuta boksa zangu tatu zimechanwa na kiwembe kwa mbele sehemu ya uume halafu kile kitambaa walichochana wakakichukua.

Yaani zmechanwa vizuri sana kitaalamu halafu zikarudishiwa ndani ya begi na zipu likafungwa vizuri.

Kuuliza waliruka futi mia, oooh sisi sio wachawi!

Majitu mabaya sana yale. NI WACHAWI HATAREEEEE.

Unaweza kushangaa unapata mabalaa kumbe watu wameifunga soksi yako makaburini. NASTY.
yap uko sawa kbs watu maisha yao yamefungwa unashangaa una kaz una biashara bt hutoboi majanga juu ya majanga tu.
 
ila huyu jamaa katakana
Anaifundisha jamii ili Watu walitambue .

Mtu akishaletwa duniani ni mali ya Mungu na anaweza kuvamiwa na maadui wa kimwili na pia kiroho.
Wazazi wana Muda Maalumu. Ndio maana kuna umri ukifika watoto hawawezi kuingia kwenye chumba cha wazazi na kulala nao au kuoga pamoja na wazazi . Muda wa matukio fulani huondoka japo wazazi wao wanaona kuwa watoto bado ni watoto hawakui mbele ya wazazi lakini kiuhalisia sio na hawapo tena kwenye milki yao kimwili na kiroho.

Bila mafundisho ya kiroho na kimila binadamu akishazaliwa anakua kwenye mapambano bila kuangalia nani aliyeko mbele yake.
Kuna baadhi ya Watoto wanaua wazazi na baadhi ya wazazi wanatupa na kulaani watoto wao , hasa akina mama . Wakiona maslahi na matarajio yao hayajatimia mara nyingi akina mama wanaweka kinyongo na hata laana kwa watoto wao wa kuzaa.
mama yake
 
ila hakiki
Ni kweli hakuna mama mbaya ila kuna wamama wachawi na washirikina pia... Tunapokuwa tunaangalia ubaya wa wengine huko nje... Tukumbuke kuwa hata katika familia zetu wapo tena wengi wa kutosha.... siku ukija kuwatambua utalia machozi....
sha uchawi wao haukuzur wala usiwachukie wapende
 
Nimekuja kugundua kuna familia zina negative energy

Nimefatilia hili jambo nikimwambia mzee wangu jambo lolote lazima litiki.

Ila nikimwamwabia my mom kila kitu kinakwama kwa 100%

My mama anatoka familia masikini yenye kuamini uchawi na fitina

Nimekuwa nikimfundisha my mama kuwa we need to trust in GOD uchawi ,negativity its just illusion.

Wakuu ukitaka kuoa make sure unatafuta mwanamke kutoka katika familia bora. Ambazo zipo educated and civilized.
Wapo watakao kupinga ila mi ni shahidi wa yote hayo.

Harakati zangu zote za mafanikio hazikuwahi kufanikiwa kwa sababu nilikuwa nawahusisha babangu mzazi na mkewe ambae ni mamangu mlezi.

Baada ya kuona kila attempt nagonga mwamba tena dakika za majeruhi, basi nikabadilisha mbinu na kuamua kukaa kimya na kweli nikaanza kutoboa.

Baada ya kuonekana natoboa kiurahisi, yule mama mlezi akaanza kuwa mkali ila nikamdhibiti.

Baada ya kijitenga nao mambo yangu yamekuwa kitonga sana yaani
 
Kuna wengine hawataamini hayo
 
Back
Top Bottom