Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Mimi mwenzenu mama nimemjengea mpaka nyumba nikamfungulia biashara lakini ndio mtu anayeongoza kulaumiwa,kulaaniwa na kuwekewa kinyongo kuliko wote.Kuwa uyaone ndugu yangu,yaani ukoo wa mama unalaana mpaka nimeamua kuwaambia wote mpaka wajomba.Yaani unakuta jitu limeharibu maisha yake lenyewe halafu linataka na wewe uharibikiwe wakati umeepuka makosa yote ya kimkakati ambaye wao waliyafanya
 
Mama yng aliwahi mwambia mwanamke wng eti aibe soksi yng ambayo nimeivaa na haijafuliwa au nguo ambayo nimevaa na haijafuliwa ampelekee sjajua mama alikuwa na lengo gn at all bt anaamin sn waganga.
Mama yako mzazi au huyo mama yako wa kambo ambaye alikua house girl..!!
Kama ni Mama yako mzazi basi mashangazi zako walikua na haki ya kumtenganisha na Baba yako
 
kuchukia watu iyo

ni tabia tu mtu Anazaliwa nayo mfano mm naweza kukuona nikakuchukia tu yaan sikupendi na sitak unisemeshe ipo ivyo sio kwamba mchawi mm no ila nimezaliwa.ivyo

pili yeye sio Mungu apende watu wotee
Aisee pole sana, jitahidi kuondoa hiyo hali au omba ushauri bila hivyo utasababisha maisha yawe magumu pasipo na sababu ya msingi, na mara nyingi mtu unayemchukia pasipo sababu huwa ni wa maana kwako hapo mbeleni.
 
Mimi nimewachana ukwweli kuanzia mama mpaka wajomba kwamba "nyinyi ukoo wenu una laana mnakazania mambo ya mizimu sijui MASWEZI halafu maisha mabovu wote,kama hiyo mizimu inamaana mngekuwa na maisha mazuri"
mimi wazee hawana shida, shida inaanzia ukiwaambia tundu zao sas ambao ni mashangazi,wajomba nk

Yaani ni kama vile watu wanaosubiri kuona anguko lako ili wakutolee mfano kama "si tulisema "

And thank God I keep providing them wrong
 
wanasema sharing is caring

mwanzoni nilikuwa naona poa tu kushare baadhi ya progress zangu kwa watu mbalimbali marafiki,washikaji na ndugu

sema sas changamoto ni kwamba baadhi hawafurahishwi kusikia unapiga hatua, au kwann upate wew na sio wao au watoto wao ni kama vile kwao inakuwa taarifa mbaya hivo ili kuepuka kuwakera unakula buyu tu. Ndio negative energy zenyewe hizo

Kwa mimi naamin what has not happened was never meant to happen and it could have not happen in any other way possible .

Isipokuwa tu you'll never regret being private
 
1.Kukataa kuwa wazazi wetu hawana mapungufu sio sawa
2. Kukataa kuwa wazazi wetu hawajawaumiza watu wengine kimwili, kihisia, kimatendo, kichawi sio sawa
3. Hata Magufuli, waliombaka Binti wa Yombo ni wazazi
4.PAMOJA NA MAPUNGUFU YAO BADO WATABAKI WAZAZI BORA KWETU....na sisi watoto wao tutalipa sehemu ya gharama za matendo ya wazazi wetu
 
Aisee pole sana, jitahidi kuondoa hiyo hali au omba ushauri bila hivyo utasababisha maisha yawe magumu pasipo na sababu ya msingi, na mara nyingi mtu unayemchukia pasipo sababu huwa ni wa maana kwako hapo mbeleni.
kuna mmoja simpendi kabsa ila kuna siku nilikwama nikamuomba lak na nus akanipa ilaa moyon simkubal
 



View: https://twitter.com/ListenMySon_/status/1833219148739911751?t=vvQ8ZpDeoKi9q1kznwCPUA&s=19
 
Mama yupo wapi? Anajua unachofanya? Mnawasiliana? Na je! Mama hana mawasiliano na wale watu upande wa Baba yako? Je! Mlizaliwa wangapi? Na vipi kuhusu ndugu zako mliozaliwa pamoja?

Dahh! Pole sana... Kuna story kama hiyo naifahamu, ila mama mtu kabisa yule original alikufaga ghafla! Akaolewa housegirl
 
Mama yng aliwahi mwambia mwanamke wng eti aibe soksi yng ambayo nimeivaa na haijafuliwa au nguo ambayo nimevaa na haijafuliwa ampelekee sjajua mama alikuwa na lengo gn at all bt anaamin sn waganga.
Ulikuwa msumbufu sana na mlevi we nae itakuwa... Huyohuyo demu wako alienda kupeleka malalamiko yako itakuwa, wakaamua wakakushughulikie kinyumbani uache ulevi, utukutu na uwe unagharamia hiyo manzi na Mama yako 😂👍
 
Mzazi havimbiwi na hakosei hata kama ni kweli anakosea... Amka ndugu yangu, usishindane nae! Acha jamii ndo izungumze hayo sio wewe.
Ataheshimiwa endapo na yeye pia atakuwa anajiheshimu na kukuheshimu wewe.

Ila akileta dharau kwako, halafu atake wewe umpe heshima, huyo mzazi atakuwa mwehu.

Na hastahili heshima yeyote, unapaswa kudeal naye kulingana na ujinga wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…