Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Ategemee vita kali, yes sir ajue hatokuwa rahisi. Sababu na wao wata fight back
 
Yaani yeye kila siku analalamika she is hating people

Na mbaya zaidi yupo ccm that is hell

While my daddy is very humble generous and visionary
Huyo ni kama mama yangu ...Huwa nahisi labda anasumbuliwa Na laana kutoka kwenye kizazi chao...ni mtu anaeweza kuweka kinyongo Na chuki hata kwa mtu ambae hajamfanyia lolote baya
 
kuchukia watu iyo
Mfano MTU anachukia watu bila sababu

Mfano kwa maisha ya kitanzania

Una watoto wanne
Wote wapo well of (wanapesa)
Wanakujali

Mme wako ni watu wale wakimya hanywi pombe ,wala michipuko 24/7 yupo kazini na nyumbani
ni tabia tu mtu Anazaliwa nayo mfano mm naweza kukuona nikakuchukia tu yaan sikupendi na sitak unisemeshe ipo ivyo sio kwamba mchawi mm no ila nimezaliwa.ivyo

pili yeye sio Mungu apende watu wotee
 
Una Akili sana kijana
 
Nikiwa na hela hunioni mtandaoni,nikifulia naanza kupost zile picha kipindi niko njema,mke wangu akiwa mja mzito nampiga picha na kuzipost mtoto akiwa na miaka kadhaa.nina michepuko kadhaa lengo ni kumzubaisha shetani na mama mkwe wake wasijue mke wangu ni yupi
 
Kumbukumbu anazo mpiga picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…