Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mfalme sulemani alisema kadri unavyokua na maarifa ndio unakua na huzuni. Ukiyajua ya viongozi wa dini utaacha kwenda kusali
Kwa sababu huko kuoa ndio kunakotufelisha michongoIvi ni kwanni uhamasishaji wa kuoa kwa Tanzania umekua mkubwa mno kuliko kupeana michongo ?
Vijan tumeshashtuka 😁Kwa sababu huko kuoa ndio kunakotufelisha michongo
Tunaoa kwa sababu ya upweke,basi.Faida ni nyingi kuliko hasara.
Kwa nini mkuu ?Mimi binafasi huwa kspendelei kusema mengi sana kuhusu ndoa na wanawake..
Huwa naona hiz mambo hutegemeana sana na uwezo pia mtazamo wa mtu binafsi zaid na si jumuishiKwa nini mkuu ?
Ni Kwa sababu waliowa Wengi wao wanataka na wadogo zao waingie katika huko mtego.Ivi ni kwanni uhamasishaji wa kuoa kwa Tanzania umekua mkubwa mno kuliko kupeana michongo ?
Wanaona ndio kipaumbele Chao mkuu....alafu kwann jamii inaamini usipokuwa na mke una matatzo na wengine ufika mbali nakuita wasioa mashogaa😔Ivi ni kwanni uhamasishaji wa kuoa kwa Tanzania umekua mkubwa mno kuliko kupeana michongo ?
Matokea ya 50 kwa 50 mkuu , tumempigania mtoto wa kike mpaka ikapitiliza tukamsahau mtoto wa kiume , sasa inakua ni ngumu mtoto huyo wa kiume kuishi ya mtoto huyo wa kike aliyepiganiwa kwa kila namna .Ndoa -na ongezeko la singo Mama haya mambo yamekaaje?
Matokea ya 50 kwa 50 mkuu , tumempigania mtoto wa kike mpaka ikapitiliza tukamsahau mtoto wa kiume , sasa inakua ni ngumu mtoto huyo wa kiume kuishi ya mtoto huyo wa kike aliyepiganiwa kwa kila namna .
Yaani umepiga kwenye mshono,maana mtu anakuvutia sana ,ila kama nae ule uzuri wote unaisha,hili nimelifanyia tafiti muda mrefu sana na nimeligundua vyema.Watu unaowaona ni wazuri ni kwa sababu upo nao mbali .
Ni bora MTU usimuelewe Sana hii itaweka ladha sawa.