Ukiwaelewa na kuwajua wanawake huwezi kuoa

Ukiwaelewa na kuwajua wanawake huwezi kuoa

I doubt you are keen with the social institution such as education, judicial and legal, religious, markets among others...and how these institutions shape people's imagination over time.

Ukizijua hizi social institution na influence yake kwenye jamii na kwa mtu mmoja mmoja, then uje tujadili.

Alamsiki
Akiyajua mambo kama judicial na markets aje mjadili mambo ya kuoa au siyo?
 
Kwema Wakuu!

Kuna namna mbili za kutokuwa interested na Ndoa.
Mosi, kutowaelewa na kutowajua kabisa wanawake.
Pili, kuwaelewa na kuwajua sana wanawake.

Hiyo ya pili ndio zaidi. Watu wengi wanaowajua wanawake kindakindaki huishia kuwa bachelor sugu. Hawaoi.

Wapo wanaume wenye kila sifa ya kuoa lakini hawataki kufanya hivyo kutokana na uelewa wao mkubwa kuhusu wanawake.

Jioni njema
We kumbe hamnazo, si unao uzi unakandia wasiooa?
 
Kwema Wakuu!

Kuna namna mbili za kutokuwa interested na Ndoa.
Mosi, kutowaelewa na kutowajua kabisa wanawake.
Pili, kuwaelewa na kuwajua sana wanawake.

Hiyo ya pili ndio zaidi. Watu wengi wanaowajua wanawake kindakindaki huishia kuwa bachelor sugu. Hawaoi.

Wapo wanaume wenye kila sifa ya kuoa lakini hawataki kufanya hivyo kutokana na uelewa wao mkubwa kuhusu wanawake.

Jioni njema
Mama yako ameolewa?
 
Back
Top Bottom