Ukiwaelewa na kuwajua wanawake huwezi kuoa

Ukiwaelewa na kuwajua wanawake huwezi kuoa

Mkuu kwa heshima na taadhima nashukuru sana kwa hili Andiko Ila tafadhari mkuu next time uje na nondo za kutosha km kawaida yako sio unatuwekea summary tu ungetushushia mapoint hapa wengine tuchukue notice za hao mabechala Sugu wanaogoma kuoa sababu wamewajua wanawake kwa asilimia 100 na 1

Haina shida Mkuu.
Sikutaka kumchosha mtu wakati huu
 
Hoja yako hii wala sikubaliani nayo, bila shaka wakati ni mwalimu mzuri, ukipata maisha marefu utaikumbuka hoja hii na utakubaliana na nilichojadali awali.

Nikutakie heri

Mwanadamu habadiliki kama angekuwa ànabadilika kungekuwa na jipya chini ya jua.

Unapoona kitu bandia alafu baadaye ukaona kitu halisi haimaanishi ile bandia imekuwa halisi ila ni wewe ulishindwa kutambua na kutofautisha bandia na halisi.

Kikawaida Mwanadamu huficha uhalisia wake kwa sababu huyo ndiye yeye.
 
Tabia njema na dini, hizi ndio sifa za msingi ambazo zikitimia hizi kadhia inakuwa imeisha.
Mkuu, tabia njema na dini hazikati kiu kwenye 6 kwa 6 ambacho ndiyo kiini cha ndoa. Msingi wa ndoa ni kuchakatana, ndiyo maana hanithi hafungishwi ndoa.

Na ili kiu ikatike sawa sawa kwenye 6 kwa sita, lazima ukamatie msambwanda wenye rangi ya mtume, sura nzuri na sauti/ngozi nyororo.

Vinginevyo utajikuta tu unachepuka, na hata huyo mwenye tabia njema akikufumania utamjibu shit.
 
Kujua sio kosa hata kidogo
Sema mda mwingine unafumbia macho hata kama unajua
Kwan ukisema kila kitu useme ndo unajikuta ndoa au mwanamke una achana naye
 
Imagine sisi hatujuagi tunataka nini 😆

Ila tukikosa tunachotaka panachimbika hahaha

Na hayo ndio maisha.

Usimkariri Mwanamke. Mahitaji yake yanabadilika badilika, ukimpa hiki alichokuwa anataka haimaanishi alikuwa hataki kile ambacho hakukwambia

Mwanamke anaposema anataka mwanaume mwenye pesa haimaanishi hataki Mwanaume HB.
Akisema anataka mwanaume mwenye pesa na HB haimaanishi hataki Mwanaume mashine.

Kwa ujumla mwanamke anahitaji full package. Yaaní mwanaume ukamilifu
Au walahu ufike 80%
 
Kitu moja nashindwa kuelewa,
Kwa mwenendo wa mada zinazohusu wanawake hapa JF.
Mwanmke anachukuliwa kama kiumbe fulani ambacho hakieleweki (hard to understand)?
 
I doubt you are keen with the social institution such as education, judicial and legal, religious, markets among others...and how these institutions shape people's imagination over time.

Ukizijua hizi social institution na influence yake kwenye jamii na kwa mtu mmoja mmoja, then uje tujadili.

Alamsiki
 
Back
Top Bottom