min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kuoa ni sawa na kutupia mkeka kubeti mkuu, asilimia za mkeka kupasuka ni kubwa mno , binafsi nitaoa badae mno umri ukishanitupa mkono kabisa yaani nikishaona sina cha kupoteza😁😁😁Wanaona ndio kipaumbele Chao mkuu....alafu kwann jamii inaamini usipokuwa na mke una matatzo na wengine ufika mbali nakuita wasioa mashogaa😔