Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Salaam,

Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba ktk maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako.

Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo:

1. Mdekeze kadri uwezavyo coz huenjoy sana kudekezwa na mtu ampendae

2. Akikosea usimfokee, muelekeze kistaarab hatorudia kosa hilo

3. Ukimkosea muombe samahan hata kwa kuigiza, atafurah sana.

4. Akikujibu vibaya usimchukulie serious coz hua hawamaanish zaid ya kujihami

Kwa leo inatosha, tukutane wakati mwingine.
Una umri gani mkuu?
 
Vijana msipobadilika tutawatombea sana
 
Hata wenzako walikuwa walimu kama wewe, lakini waliishia kupigwa na vitu vizito utosini.
Ni suala la muda tu, utapigwa tukio.
Jijali mwenyewe,
Jali Mungu&wazazi wako.
Ukiweza saidia ndg pia... wanawake mwachie shetani.
 
Salaam,

Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba katika maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako.

Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo:

1. Mdekeze kadri uwezavyo coz huenjoy sana kudekezwa na mtu ampendae

2. Akikosea usimfokee, muelekeze kistaarab hatorudia kosa hilo

3. Ukimkosea muombe samahani hata kwa kuigiza, atafurahi sana.

4. Akikujibu vibaya usimchukulie serious coz hua hawamaanishi zaid ya kujihami

Kwa leo inatosha, tukutane wakati mwingine.
Kilio chako kipo karibu kaa ivo ivo unyooshwe alafu uje badae kutupa mrejesho baada wa
 
Kisoka tunasema hapa ni HALF TIME na umelewa na matokeo.

Usisite kutupa mrejesho after FT na usikimbie waandishi wa habari.
Waarfica ni wagum kujifunza vitu vipya, vitakavyorahisisha maisha yetu.

Mazoea tumeyarasmisha kua mfumo kamili wa maisha yetu
 
Hayanaga mwongozo hayo mkuu.

Kama alowaumba katuasa tuishi nao kwa akili (TIMING) wewe nan ujikute unawamudu?
 
Back
Top Bottom