Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Salaam,

Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba ktk maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako.

Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo:

1. Mdekeze kadri uwezavyo coz huenjoy sana kudekezwa na mtu ampendae

2. Akikosea usimfokee, muelekeze kistaarab hatorudia kosa hilo

3. Ukimkosea muombe samahan hata kwa kuigiza, atafurah sana.

4. Akikujibu vibaya usimchukulie serious coz hua hawamaanish zaid ya kujihami

Kwa leo inatosha, tukutane wakati mwingine.
Uzi kituko mtandaoni nawe umetupia chako
 

Attachments

  • IMG-20180911-WA0000.jpg
    IMG-20180911-WA0000.jpg
    235.7 KB · Views: 2
Unaingizwa kwenye kumi na nane .. shtuka ..

Kwenye game kuna anaelose kuna anaewin .

Wengine Tulipewa mpaka mishahara tuipangie matumizi ..
Una uchovu unaulizwa au ni hela huna , Ikijibu yes unachapwa na turaki tuwiri, .

Hapo uko na bebe wako mwingine .. unaulizwa huwa anakupa Nini mie nikupe more than .. unajichanganywa unaingia kuminatisani ... Paap huna option Zaidi ya yeye .. nyokolaaaa

Unaanza kuona makucha ...

Ngastuka a machali kundesaaaa

Kaa kijana jombiiii...

Kuwa makini na wanawake wameangusha himaya pamoja na wafalme
Afu hizo pigo za kutunzwa na mwanamke sizipendi balaa
 
Back
Top Bottom