BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Let's set feelings aside and go with the facts.
Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu?
Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu wana ndoa zao ila bado ni wazinzi wa kutupwa sometimes unajiuliza kama huyu anapenda lifestyle ya namna hii kwa nini ameamua kuoa/kuolewa.
Hoja kidogo ambayo ina mashiko kwenye ndoa ni malezi ya watoto nayo sio strong enough sababu wapo watoto wamepatikana na kulelewa kwenye ndoa ila hawana maadili ila unapata mtoto kalelewa single parent lakini amenyooka yupo vizuri.
Kupata full access ya tendo la ngono hii hoja ilikuwa valid miaka ya zamani ambapo availability ya mwanamke ilikuwa kama dhahabu yaani mwanamke kukutunuku tunda ilikuwa ni heshima lakini sasa kila kona wauzaji kibao ukiachana na wauzaji wanawake wenyewe saa hivi wanautaka to the maximum.
Naomba kuwasilisha.