Ukiwaza kwa facts utagundua kataa ndoa ni watu smart sana kichwani.

Ukiwaza kwa facts utagundua kataa ndoa ni watu smart sana kichwani.

Let's set feelings aside and go with the facts.

Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu?

Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu wana ndoa zao ila bado ni wazinzi wa kutupwa sometimes unajiuliza kama huyu anapenda lifestyle ya namna hii kwa nini ameamua kuoa/kuolewa.

Hoja kidogo ambayo ina mashiko kwenye ndoa ni malezi ya watoto nayo sio strong enough sababu wapo watoto wamepatikana na kulelewa kwenye ndoa ila hawana maadili ila unapata mtoto kalelewa single parent lakini amenyooka yupo vizuri.

Kupata full access ya tendo la ngono hii hoja ilikuwa valid miaka ya zamani ambapo availability ya mwanamke ilikuwa kama dhahabu yaani mwanamke kukutunuku tunda ilikuwa ni heshima lakini sasa kila kona wauzaji kibao ukiachana na wauzaji wanawake wenyewe saa hivi wanautaka to the maximum.

Naomba kuwasilisha.
Hoja zako zote hazina mashiko
 
Umwa ndio utaona kama hao mademu zako kama kuna hata mmoja atakaekua nawe bega kwa bega😀 hao wanataka sasampa tu

Japo sijaoa ila ndoa ni jambo muhimu
Kwan mkuu wewe huna ndugu.
Hivi hujui pale muhimbili kuna watu hawanaga hata ndugu wamelazwa pale?
Kwahiyo watu waoe kisa kuogopa kuimwa? Hapa mi naona hamna ishu
 
Kiuhalisia binadamu tunapenda kufarajiana na kutiana moyo hata kwa mambo ya hovyo

Utamkuta mtu humu anapinga kataa ndoa, wakati huo huo anasema anataka watoto,

Mwingine anajisifu kabisa kuwa ana watoto na wanawake tofauti huku akiwananga hao wanawake kuwa ni single Maza na hawajielewi,

At least mwenye mtoto au watoto....

Hivi unafikiri mtu una miaka 40+ 50+ huna mtoto, huna ndoa na unajitutumua kataa ndoa,

Huoni utakuja kuwa mzgo kwa ndugu zako na watoto wao ??

Mwingine anasema tafuta hela , huku sio ulaya kwamba Kuna utaratibu wa kulea wazee,

Wengi baadae ni mzgo kwa familia na ndugu zao......
Kwan kuna tatizo gani kuwa mzigo kwa ndugu zako. Hujui ndugu zako ndio ndugu zako na hawatakaa wwakutupe hata iweje?
Mkeo au mumeo anaweza akaku abandon ila sio ndugu mzee. Usichukulie vitu kirahis namna hiyo
 
Nimeona ana hoja zenye mashiko makubwa
Naam , inategemea umesimama engle gani.
ff3cc0b47d72d065d967990b8192d8df.jpg
 
Hatuwalaumu kataa ndoa maisha magumu ni magumu unafikiri ni mchezo kumtunza mtoto wa mtu kwa kila kitu na watoto wake kila siku with no excuses!...maana kwenye familia hamna cha kusema sina kitu kmmmk!...endeleeni tu kuishi peke yenu kula unakula hata kwa washkaji au misibani sababu kubwa yakataa ndoa ni kukimbia majukumu hamna kingine mbwa nyinyi
Hoja yako ni rahis mnooo.
Kama unafikiri kulisha mke na watoto na kuwanunulia nguo basi ndio kipimo cha uwajibikaji ,fhen una safari mdefu sanaaaa.
Hayo maunga unga na ma michele ndio ukajione eti ndio kaaazi.
Hamna kitu hapo
 
Ama kweli hiki ni kizazi cha pampas. Mtoto wa kiume akiamka asubuhi mkojo wake wa kwanza anakojoa hapo hapo chini kama mtoto wa kike.

Zamani ilikuwa mkojo unaruka mithili ya upinde ule wa mshale na kule unakoenda kutua unachimba chini.

Mwanaume ukishindwa kumudu ndoa sijui utaweza nini? Labda kubeti 😃
Mtoa mada hajazungumza habar za kushindwa kumudu ndoa
 
Inategemeana na familia,

Ndugu ni ndugu hii iko clear,

Ila tukirudi kwenye issue ya wao kukataa ndoa,

Hoja yao ni ipi ?

Ustawi wa kupata vizazi vijavyo utatoka wapi ??
 
Back
Top Bottom