BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Na mwanamke anayezini yeye ni nani?Mwanaume anayezini Hana akili kabisa...
Kwahiyo waliopo kwenye ndoa wote wakiugua wenzi wao wanakuwa nao bega kwa bega?Umwa ndio utaona kama hao mademu zako kama kuna hata mmoja atakaekua nawe bega kwa bega😀 hao wanataka sasampa tu
Japo sijaoa ila ndoa ni jambo muhimu
Hatuwalaumu kataa ndoa maisha magumu ni magumu unafikiri ni mchezo kumtunza mtoto wa mtu kwa kila kitu na watoto wake kila siku with no excuses!...maana kwenye familia hamna cha kusema sina kitu kmmmk!...endeleeni tu kuishi peke yenu kula unakula hata kwa washkaji au misibani sababu kubwa yakataa ndoa ni kukimbia majukumu hamna kingine mbwa nyinyiLet's set feelings aside and go with the facts.
Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu?
Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu wana ndoa zao ila bado ni wazinzi wa kutupwa sometimes unajiuliza kama huyu anapenda lifestyle ya namna hii kwa nini ameamua kuoa/kuolewa.
Hoja kidogo ambayo ina mashiko kwenye ndoa ni malezi ya watoto nayo sio strong enough sababu wapo watoto wamepatikana na kulelewa kwenye ndoa ila hawana maadili ila unapata mtoto kalelewa single parent lakini amenyooka yupo vizuri.
Kupata full access ya tendo la ngono hii hoja ilikuwa valid miaka ya zamani ambapo availability ya mwanamke ilikuwa kama dhahabu yaani mwanamke kukutunuku tunda ilikuwa ni heshima lakini sasa kila kona wauzaji kibao ukiachana na wauzaji wanawake wenyewe saa hivi wanautaka to the maximum.
Naomba kuwasilisha.
Watu wamekimbiwa na wake sababu ya ugonjwa wamebaki wakitunzwa na ndugu, jamaa na marafiki kuoa ama kutokuoa sio guarantee ya mwisho mzuriUmwa ndio utaona kama hao mademu zako kama kuna hata mmoja atakaekua nawe bega kwa bega😀 hao wanataka sasampa tu
Japo sijaoa ila ndoa ni jambo muhimu
Acha zako weweMwanaume anayezini Hana akili kabisa...
Walaa,ila wanandoa wengi waliopo kwenye ndoa wakiugua wanaangaliwa na wenza wao bega kwa bega.Kwahiyo waliopo kwenye ndoa wote wakiugua wenzi wao wanakuwa nao bega kwa bega?
Mwanadamu yyt sio mwanaume peke yakeMwanaume anayezini Hana akili kabisa...
Mwanamke anaezini ndio hana akili madamMwanaume anayezini Hana akili kabisa...