Ukiwaza kwa facts utagundua kataa ndoa ni watu smart sana kichwani.

Hoja zako zote hazina mashiko
 
Umwa ndio utaona kama hao mademu zako kama kuna hata mmoja atakaekua nawe bega kwa bega😀 hao wanataka sasampa tu

Japo sijaoa ila ndoa ni jambo muhimu
Kwan mkuu wewe huna ndugu.
Hivi hujui pale muhimbili kuna watu hawanaga hata ndugu wamelazwa pale?
Kwahiyo watu waoe kisa kuogopa kuimwa? Hapa mi naona hamna ishu
 
Kwan kuna tatizo gani kuwa mzigo kwa ndugu zako. Hujui ndugu zako ndio ndugu zako na hawatakaa wwakutupe hata iweje?
Mkeo au mumeo anaweza akaku abandon ila sio ndugu mzee. Usichukulie vitu kirahis namna hiyo
 
Hoja yako ni rahis mnooo.
Kama unafikiri kulisha mke na watoto na kuwanunulia nguo basi ndio kipimo cha uwajibikaji ,fhen una safari mdefu sanaaaa.
Hayo maunga unga na ma michele ndio ukajione eti ndio kaaazi.
Hamna kitu hapo
 
Mtoa mada hajazungumza habar za kushindwa kumudu ndoa
 
Inategemeana na familia,

Ndugu ni ndugu hii iko clear,

Ila tukirudi kwenye issue ya wao kukataa ndoa,

Hoja yao ni ipi ?

Ustawi wa kupata vizazi vijavyo utatoka wapi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…