Ukiwaza kwa facts utagundua kataa ndoa ni watu smart sana kichwani.

Umwa ndio utaona kama hao mademu zako kama kuna hata mmoja atakaekua nawe bega kwa bega😀 hao wanataka sasampa tu

Japo sijaoa ila ndoa ni jambo muhimu
Sasa hoja yako ni nini?kwamba ukiumwa sasa hiv tutazika?
 
Taratibu tutaelewana.
#KATAANDOA
 
Umwa ndio utaona kama hao mademu zako kama kuna hata mmoja atakaekua nawe bega kwa bega[emoji3] hao wanataka sasampa tu

Japo sijaoa ila ndoa ni jambo muhimu
Umwa ma wewe uone kama huyo mkep atakuvumilia
 
Kwahiyo waliopo kwenye ndoa wote wakiugua wenzi wao wanakuwa nao bega kwa bega?
Mambo mengi kwenye ndoa hilo la kuumwa ni mfano tu bro nadhani unaelewa, pia utakua umeoa😄 wewe sio kataa ndoa ama nasema uwongo
 
Ndoa inafaida endapo utapata
kuishi na mwanamke kunafaida sana ila usioe.
 
Umwa ndio utaona kama hao mademu zako kama kuna hata mmoja atakaekua nawe bega kwa bega😀 hao wanataka sasampa tu
Faida za ndoa ni nyingi kuliko hasara

Japo sijaoa ila ndoa ni jambo muhimu
Mbona Wapo Tulioshuhudia Wamo Ndani Ya Ndoa Na Wakabahatika Kuumwa.....Na Hakuna Msaada Wowote Zaidi Ya Manyanyaso Kutoka Kwa Yule Aliyemwita Wa Ubavu...Kufa Na Kuzikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…