Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mkikimbia na kiinua mgongo je?Lete Saccos yetu unapata 4M kila mwez
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkikimbia na kiinua mgongo je?Lete Saccos yetu unapata 4M kila mwez
Hesabu yako sio halisi labda apartment 10Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 20 utaiona faida.
SawaNilikusudia kusema jengo moja utoe flats ndogo, hata hivyo uko sahihi.
1.5m inabajetika vyema mno labda kama umeamua kuoa golikipa mdaka tonge tuSure Mkuu 1.5m kwa mwezi labda uwe unaishi kisela,waulize wanaolipwa labda mili 3 au nne kwa mwezi....Kama kipato chako ni laki 3 au nne kwa mwezi utaona 1.5m ni nyingi sana.
-Kodi ya nyumba
-Ada ya watoto efemu akademia
-Chakula
-Utilities bills
-Transport/Usafiri
-Support kwa extended family.
-Vocha/Bundles
Kama kuishi kwa kujibana basi hata laki kwa mwezi inatosha kwa matumizi maana utakuwa unakunywa uji na usiku ugali na tembele chukuchuku,watoto wanasoma kayumba.
Sawa bwana mkuu, inauma ila ndio hivyo inabidi tuzoee tuUpo sahihi.. bongo wengi tunaishi kimaskini sababu ya vipato vidogo.. mpaka tunaona 1.5m ni nyingiii.. huku uhalisia ni usd 650 tu hiyo.. ukiwa na familia ya mke na watoto wawili mnaishi kisasa hiyo hela ndogo sana
Hahahah jamaa ana vimba bana! Huko kuishi standard life zipo familia zinaishi hivyo kiukweli ila rate ni kama 1% ya watu wote nchini! Naijua familia moja ya jamaa na mkewe mchizi ni senior MDH na mkewe yuko PEPFAR ni senior!Hhaah ..anataka kutuaminisha 1.5m ni hela ndogo..watu take home znacheza chin ya hapo na wanaskuma ma harrier tako la nyani na maisha mazur..huyo jamaa anataka kujimwambafy nin.hahhaa
Nimekuelewa sana mkuu,kama sheria haiwalindi hawa fixed depositors ukiachana na wale savers wa kawaida basi ni shida,bora nikanunue government bonds tu kwani nadhani Serikali haifilisikagi,labda wale wazungu wa Meli wagiriki tu ndio waliozinguaga duniani kwa kufilisikaUsicheze na hii kitu, jaribu kufatilia hatma ya walioweka hela yao Bank M ndo utajua.
Ilipita memorandum ya BOT kwamba depositors wote wapewe maximum TZS 1,500,000, balance inayobaki mtalipwa on preferential basis.
Ikitokea kwenye preference ukawa wa mwisho maana yake unategemea kitakachobaki.
Mpaka leo kuna watu kibao hawajalipwa. Na hiyo ni practice kwa mabenki yote yaliyochukuliwa na BOT kwa sababu za kufirisika.
Ogopa sana unapoona benki inatoa rates kubwa, hapo wanakutwa wanalazimisha liquidity.
Kaka mpaka umeyajua yote haya, unaishi nao?Hahahah jamaa ana vimba bana! Huko kuishi standard life zipo familia zinaishi hivyo kiukweli ila rate ni kama 1% ya watu wote nchini! Naijua familia moja ya jamaa na mkewe mchizi ni senior MDH na mkewe yuko PEPFAR ni senior!
Budget zao ni kama ifuatavyo:
-Watoto wawili ada ni 18M kwa mwaka!
-Utilities pamoja na chakula ni 4M kwa mwezi mafuta yakula yanaagizwa USA, viungo Zanzibar, Samaki Mwanza, Kuku na matunda Tanga! Vyote ni fresh yani.
-Dereva wakupeleka watoto shule na kuwarudisha home na ractis ya watoto.
-Mama Prado baba Harrier tako la Nyani full tank mda wote!
-Mapumziko ya mwisho wa mwaka watoto hupelekwa Disney land!
-Mshahara mama anakunja 7M ila michezo anayocheza kwa mwezi anaingiza kati ya 9-12M nje ya salary!
-Jamaa nae 10M na michezo mibaya inahusika.
Sasa je ni wangapi wenye hii bahati hapa nchini nje ya wafanya biashara wakubwa? Ajira za BOT zimetoka ila watu watavunja hata nazi waingiemo mle! Nina hakika mshahara kwa wengi hautafika 3M ila its alot kwa level zetu za kimaskini mkuu! Kumbuka unapata na benefits nyingine nje ya mshahara huo maybe house allowance,transport, bima nakadhalika.
Kwa 2.8M take home gari unaendesha+Maintance na nyumbani watoto wanaenda msalani bila tatizo ukiwa na mke mwenye akili na savings unafanya kabisa au unachukua loan unajenga kabisa!
Hahahaha serikali haifilisiki kizembe labda nchi iharibike kwa vita! Ila bongo hamnaga vita watu wameridhika sanaNimekuelewa sana mkuu,kama sheria haiwalindi hawa fixed depositors ukiachana na wale savers wa kawaida basi ni shida,bora nikanunue government bonds tu kwani nadhani Serikali haifilisikagi,labda wale wazungu wa Meli wagiriki tu ndio waliozinguaga duniani kwa kufilisika
Mkuu nifahamishe, milion 200 unajenga apartment ngapi?Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 5 utaiona faida.
Swali zuri sana mkuuKwa hiyo kama ni 20,moja utaijenga kwa mil 10 ama?
Dah aiseee Hadi raha samaki wanakuja na ndege kutoka mwanza..ila makubwa Wana maisha hayo I mean makatibu wa taasisi kwenda ngazi za juu ila na wife unakuta Yuko wizaraniHahahah jamaa ana vimba bana! Huko kuishi standard life zipo familia zinaishi hivyo kiukweli ila rate ni kama 1% ya watu wote nchini! Naijua familia moja ya jamaa na mkewe mchizi ni senior MDH na mkewe yuko PEPFAR ni senior!
Budget zao ni kama ifuatavyo:
-Watoto wawili ada ni 18M kwa mwaka!
-Utilities pamoja na chakula ni 4M kwa mwezi mafuta yakula yanaagizwa USA, viungo Zanzibar, Samaki Mwanza, Kuku na matunda Tanga! Vyote ni fresh yani.
-Dereva wakupeleka watoto shule na kuwarudisha home na ractis ya watoto.
-Mama Prado baba Harrier tako la Nyani full tank mda wote!
-Mapumziko ya mwisho wa mwaka watoto hupelekwa Disney land!
-Mshahara mama anakunja 7M ila michezo anayocheza kwa mwezi anaingiza kati ya 9-12M nje ya salary!
-Jamaa nae 10M na michezo mibaya inahusika.
Sasa je ni wangapi wenye hii bahati hapa nchini nje ya wafanya biashara wakubwa? Ajira za BOT zimetoka ila watu watavunja hata nazi waingiemo mle! Nina hakika mshahara kwa wengi hautafika 3M ila its alot kwa level zetu za kimaskini mkuu! Kumbuka unapata na benefits nyingine nje ya mshahara huo maybe house allowance,transport, bima nakadhalika.
Kwa 2.8M take home gari unaendesha+Maintance na nyumbani watoto wanaenda msalani bila tatizo ukiwa na mke mwenye akili na savings unafanya kabisa au unachukua loan unajenga kabisa!
Yeah ndio maana nikasema kwa mgawanyo tu wa ratio ya watu million 60 kwa idadi ya watanzania maybe asilimia 1-3% tu ya raia ndio wanamudu hilo life!Dah aiseee Hadi raha samaki wanakuja na ndege kutoka mwanza..ila makubwa Wana maisha hayo I mean makatibu wa taasisi kwenda ngazi za juu ila na wife unakuta Yuko wizarani
Hiyo 13% ni Flat Interest au Redusing Balance?Tena inawezekana benki ya posta ikaongezeka kwani nasikia wanatoa interest rate ya 13% per annum, ngoja nifuatilie zaidi nimshauri mstaafu fulani hivi akawekeze huko.
This is better.Bora kununua Bond za BOT unapata milioni mbili laki saba kila mwezi na pesa yako iko palepale na haikatwi kodi yoyote.
Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo.
Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
Hahaaaaa,kweli mkuuHahahaha serikali haifilisiki kizembe labda nchi iharibike kwa vita! Ila bongo hamnaga vita watu wameridhika sana
Tupeane elimu ya namna ya kuwekeza huko BOT sasa.Benki hutumia hela zako na kununua treasuries BOT.
Kuwa mjanja, nunua treasuries from BOT.
Robo yake, nunua ardhi. Hasa shamba ambalo utaliendeleza kwa kulipima na kuwa viwanja.
Usijenge nyumba kwa ajili ya biashara, labda kama ni fremu.