Unaniambia mim au unamwambia mtoa mada?Kiwanja cha 30M upate apartment za kupangisha usd 500!? Unaota ndoto ya mchana[emoji23][emoji23][emoji23] maana hizo bei ni mikocheni mbezi msasani huko utapata kiwanja cha 30M?!
Hapo assumption yake ni kwamba ulishakuwa na nyumba yako watoto walishasoma wanajitegemea umebakia wewe na wife . Ukiamka unasoma magazeti tuu.
Hiv bloo..kumbe ni kwelAhsante kwa muongozo...
Mkuu ufafanuzi kdg sie std7 tunachelewa kujua mengi nilitaka uniambie hiyo treasures ya b.o.t unifafanulie pia na nikitaka kuwekeza njia sake na taratibu zinakaaje?Benki hutumia hela zako na kununua treasuries BOT.
Kuwa mjanja, nunua treasuries from BOT.
Robo yake, nunua ardhi. Hasa shamba ambalo utaliendeleza kwa kulipima na kuwa viwanja.
Usijenge nyumba kwa ajili ya biashara, labda kama ni fremu.
Very trueThe higher the rate the higher the risk!
Duh! hiyo 200m si shillingi jamani? Kama ni shillingi za Tanzania, zinawezaje kutoa apartments 5?Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 5 utaiona faida.
Tena inawezekana benki ya posta ikaongezeka kwani nasikia wanatoa interest rate ya 13% per annum, ngoja nifuatilie zaidi nimshauri mstaafu fulani hivi akawekeze huko.
Hakuna kitu hapo, utaweka pesa mara watatoa visingizio unapewa pungufuWale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo.
Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa kwa njia ya biashara. Una uhakika wa kula kila mwezi na pesa yako iko pale pale.
Apartment 5 kwa mil 200?...tena za kulipiwa 500$usd, tena na kiwanja kinunuliwe hapo hapo kwenye pesa hiyo?Option nyingine ni kuwekeza kwenye real estate. Ukipata kiwanja location inayoeleweka unaweka. Kwa milioni 200 unasimamisha apartments za kueleweka. Hata kwa US$500 kwa mwezi kama ziko 5 utaiona faida.