Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

Viongozi wao wanawaendekeza, wafanye km El Salvador, nchi ilikuwa hatari duniani sasa hivi mambo yamwkuwa poa
Watangaze marshal law , vikosi viingie kuwanyoosha wahalifu
Tatizo la south ni corruption na unacountability ya kishenzi iliyojengwa na ANC aka ccm ya south Africa

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani unazungumzia experience ya kule ulikofika, kule ambako hujafika usidhani ni tambarare.
 
Hujawahi kufika Mbeya mafiat bro anayekukaba unamjua vizuri ukienda kumfuata akurudishie vitu vyako anakuambia sasa ulitaka nimkabe nani bro wakati najua braza ww Huwezi kuniua
Mi nilienda kwa mdingi pale mwanjelwa Airport.
Jioni nikawambia natoka kidogo hapo juu nikanywe soda kumbe bapa.
Wakaniambie huko hakufai saa hii nikaweka ubishi
Nje sioni watu kabisa,ilikua
sa tatu tu.
Nimegonga bapa langu narudi wazee wa nondo hawa hapa E bana walikuta na mi siko kinyoonge tulicheza kadanse mpaka wakatoka baru na nondo zao huku nawakimbiza na kelele za wezii weezii"
Badae na mi nikageuza toka baru hadi home.
Nafika home nahema mzee anauliza vp namwambia walitaka kuniua.
Akasema tulikwambia lakini usitoke usiku ukabisha
 
Naongelea maisha kwa ujumla unafanisha hivyo vijiji huko mbeya na joburg tuweni serious
 
Uhalifu sio uanaume. Acheni kusifia uhalifu. Huo sio mji wa hustling ni mji wa uhalifu. Nilitegemea labda ungesema gharama za maisha ziko juu kama Luanda ndo ningekubali ni mji wa kiumeni. Huo ni mji uliojaa ushenzi.
Hakuna sehemu nimesifia uhalifu
Ni kama useme Tanzania ni maskini huwezi sema unasifia umaskin ni kweli ni maskini

Kuwa na gharama kubwa za maisha haimaanishi kuna hustling we umeshaona kuna mtu anaenda kutafuta maisha luanda

Sehemu yeyote ukiona group kubwa wanaenda kutafuta maisha ujue huko kuna hustling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…