Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Kama hauko kwenye vita, mbona watu wanajifungia saa 1 usiku?Huko goma ni war zone huwezi fananisha na joburg haiko kwenye warzone
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hauko kwenye vita, mbona watu wanajifungia saa 1 usiku?Huko goma ni war zone huwezi fananisha na joburg haiko kwenye warzone
Kuna tofauti gani, wote kufa ni nje nje.Yeye kazungumzia "normal life" ya Joburg wewe unazungumzia war declared area!
We mbuzi,ukianza mambo ya matusi ntakupandia,kwanza hujui unaongea na babaako hapa nyau weHakuna sehemu nimejisifia kwenda south toaujinga wako hapa yaani nijisifie sehemu ambayo hauhitaji visa
We ni mshamba tu maswala ya mdogo wako yananihusu nini wewe mwenyewe hata sikujui
We hupajui huko,mida mibovu watu wanamalizwa mbaya.Mbeya hakuna kitu , unawazungumzia wapiga nondo? Nimekaa Mbeya kuko shwari sana, hapo mafiati nimekesha sana Mbeya Carnival sijawahi kuona vurugu zozote