Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

Sasa mji kuwa na vibaka ndio hustling?

Basi kama ndo hivyo chang'ombe ya Dodoma ni super street Duniani, ukitoboa chang'ombe huwez shindwa mtaa wowote hapa Duniani
point.

Maana tunashindwa tofautisha uhalifu na Hustling.
 
Mbona una inferiority complex kubwa sana Kuna sehemu nimesema kwamba huwezi fila joburg ebu nionyeshe
Sina utoto wa kuringishia watu na picha alafu nipate nini
[emoji1787] [emoji1787] Ushapaniki, sasa bora inferiority kuliko jazba.
Humu mtandaoni utafura sana mkuu.
 
JESUS - UJESU
18b0e021-c2d1-45a9-a4bc-234b30a44661.jpg
 
Tatizo wabongo mnashindwa kujielewa, utaendaje nchi ya watu halafu unaishi kihasarahasara, yaani unababana na wazawa choka mbaya kwenye maisha yao,
Kama unatoka nchini huko unakoenda, unatakiwa u raise the standards, wala hutaona huu upuuzi wa kukabana mitaani.
 
MzEe baba Unaiachaje delft hapo?? Nilikula visu zaidi ya saba sikufa mpaka leo naamini kama mungu hajapanga haufiii....sema capetown pabaya kama hauna hela baada ya kuhamia seapoint sijawahi kuona ujinga huo mpaka naondoka SA.
Ila wajozi wanaigwaya cape,, huku kuna walangilangi(hawana akili hata kidogo) anakuuwa mchana jua linawaka sio kwa sababu ya hela hapana, kisa mkubwa wake wa gang kampa order akuue yawezekana mlipishana ukampiga kikumbo tu basi,, sasa ingia nyanga, gugulethu, khayretsha huko kuna chafu za kikosa kuua mpaka rand mia kwa sasa maisha yalivyo magumu,, yani bora hata langa tena kidogo sana kwa lokshini za watu weusi kuliko huko nilikokutaja at least kuna sehemu kama una usafiri wako unaweza ukaishi,, kwa upande lokshini za walangilangi at list athlone baadhi ya maeneo,, kwa kifupi south nzima kuna uhalifu mpaka vijijini, nishatolewa kwaju umtata eastern cape..
 
Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone

Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya kazi na anapata mahitaji yote ya muhimu ya binadamu

Wewe kama ni hustler hapa Tanzania nenda joburg utajiona ni kama mjinga hivi ambaye ulikua unaigiza maisha Tanzania au unacheza

Real hustling ipo joburg mji unavurugu na ujambazi wa kutisha na mda huo huo unatakiwa utafute hela ule ni mji wa kiumeni ukiona mtu ametoboa joburg mheshimu

Juzi juzi hapa nilimtembelea rafiki yangu joburg aisee saa 1 tayari uko ndani ukiwa nje ni kwa your own risk bar tulizokua tunaenda ni zile zenye ulinzi mkali ukienda za kawaida uko una hatari kubwa sana ya kukabwa au kufanyiwa uhalifu, karibia wote kwenye ofisi yao kwa nyakati tofauti kila mmoja kashafanyiwa uhalifu wa kuibiwa waziwazi

Sikukaa sana ila kwa observation nilioifanya joburg ni mji wa kiumeni sana. Kwa Afrika nzima hakuna mji wa kiumeni kama joburg
Johanesburg ilikikata stimu kabisa nilikuwa huko mwezi ulipita kwa wiki moja
Mitaa ya watu weusi kumechoka na kuchafu sana
Vijana mtaani wamechoka na wanaonekana wapo under drug influence
Mademu wa kitaa South wamechoka sana
Daa hawatii hata mzuka ... ndo nikaelewa why mademu wa South waraisi kuwapata ni kwa chakula au kinyweji bia kwa sababu ya umasikini tu ni sawa na hapa tz uende kitaa na milioni 1 unamaliza mtaa mzima
Kwa ufupi stimu zilikata
Nikaenda Sandton mitaa ya kishua Club Montana Huko kulikuwa noma malaya Rangi rangi kama mpo Jehanamu

Ila walichofanya Makaburu kwa hawa weusi enzi za Apartheid Mungu anawaona

Wasauzi asili nimegundua ni wavivu sana
Kazi nyingi malls / super market petro stations zinafanywa ma Wandebele wa Zimbwabwe as kindebele na kizulu zinaingiliana
 
Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone

Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya kazi na anapata mahitaji yote ya muhimu ya binadamu

Wewe kama ni hustler hapa Tanzania nenda joburg utajiona ni kama mjinga hivi ambaye ulikua unaigiza maisha Tanzania au unacheza

Real hustling ipo joburg mji unavurugu na ujambazi wa kutisha na mda huo huo unatakiwa utafute hela ule ni mji wa kiumeni ukiona mtu ametoboa joburg mheshimu

Juzi juzi hapa nilimtembelea rafiki yangu joburg aisee saa 1 tayari uko ndani ukiwa nje ni kwa your own risk bar tulizokua tunaenda ni zile zenye ulinzi mkali ukienda za kawaida uko una hatari kubwa sana ya kukabwa au kufanyiwa uhalifu, karibia wote kwenye ofisi yao kwa nyakati tofauti kila mmoja kashafanyiwa uhalifu wa kuibiwa waziwazi

Sikukaa sana ila kwa observation nilioifanya joburg ni mji wa kiumeni sana. Kwa Afrika nzima hakuna mji wa kiumeni kama joburg
Japo mji wenyewe siujui ila nikuulize kwanza, yaani ujambazi na kulala saa 1 ndio umeona hustling? Yaani mtu aibe, aue, apole umuite hustler?
 
Back
Top Bottom