jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu kuna jamii kuhudumia watoto siyo Tamaduni zao, mfano Wazanzibar wao wakisha achana kwenye ndoa tu na Mwanaume kuoa mke mwingine watoto wa mke wa kwanza watajijua wenyewe, Na Mwanaume akizaa nje ya ndoa mtoto akua wa Mwanamke na jina ataitwa Abdallah Abdallah kama jinsia ni ya kiume, Kuna Mdada kutokaTanganyika alizaa na Mzanzibar tena Mume wa mtu yani nilimshangaa sana. yani yeye mkristo una zaa na mume wa mtu tena ameoa wake watatu na ana watoto 12, yeye anaenda kuzaa nae mwushoe katelekezewa mtoto ana lea peke yake, alivyo na akili zake mbovu anatafuta kijana ili kumtwisha mzigo wa malezi ya Mtoto wake.Hakuna Baba anaweza kuona mtoto wake akiteseka! Awe wa nje au wa ndani ya ndoa.
Msiwatishe mabinti waacheni tuzae nao. Mtoto ni blessings