Ukizaa na mume wa mtu, jukumu la kulea mtoto ni lako mwenyewe!

Ukizaa na mume wa mtu, jukumu la kulea mtoto ni lako mwenyewe!

Sio kila mahusiano yanalenga kuzaa wanawake wanapaswa kujua hili.

Hata kwenye ndoa tu wanaume wanazaa kwa hesabu sembuse nje huko unazani atakuelewa?!
 
Halafu wengine wanazitegesha makusudi sababu ya kutaka kuwafanya watoto vitega uchumi kwa kupewa ruzuku ya malezi na matunzo ya mtoto. [emoji848]
 
Wewe hufai kuwa mwanaume chagua jinsia tofauti,uanaume ni majukumu

Ungeandika Kwa Kutumia jina lako halisi ningekuona umeiandika Jambo la maana Sana. Kwani Watu wanaokujua wangethibitisha je unakimbia majukumu au hukimbii.
Lakini hapa tutasema ni wimbo WA bubu unaipigwa na kiziwa Kwa kipofu
 
Bwana Robert Heriel wanaokupinga hawajaelewa Ulichokiandika. Niwasaidie tuu kuwajulisha kuwa Mleta Uzi Hana Nia ya kuwataka wanaume wasilee watoto wa nje la hasha! Bali wanawake wasizae na waume za watu au wanaume ambao hawajawaoa Kwa kutegemea matunzo sawa na watoto wa Ndoa.


Mimi naungana na Robert kuwaasa kinadada kutokufanya mapenzi na wanaume wasio waume zao. Wafahamu ni heri atelekezwe na Manaume aliyemuoa kuliko atelekezwe na mume wa mtu au mwanaume ambaye hajajitambulisha Kwao.

Wanaume tuepuke wanawake wanaotuomba mbegu Kwa ahadi ya kuwa hawatasumbua wake zetu.
Midomo ya Malaya Hudondoza Asali.
 
Wakikuskia na wakakuelewa niite ndubwi nimekaa paleee. Yaani wenzako wanajibebesha mimba makusudi na wanaanza kumsumbua mke ili mke asuse yaende yenyewe. Wakiona inashindikana wanaroga kabisa
 
Akikuomba mbegu mpime kiuchumi kama yuko huru mpe wala haina neno,

Ilimradi iwe salama.

Maana Dunia ina mengi!

Lakini iwapo uchumi wake si huru ni tegemezi hapo kimbia kama Nabii Yusuph kwa Portifa.

Swala hapo ni status ya kiuchumi ikoje ?

Huru au tegemezi?
 
Hapa ndo uzuri wa Mungu si Athumani wala Robert

Chukua haya maneno yako yaweke mbeke ya Mwenyezi Mungu alafu uje na mrejesho

Mume kudanganya hana mke sio kosa eh?
Mume kuzini nje ya ndoa sio kosa eh?
Mume kutotenda haki kwa mwanamke mwingine sio kosa eh?
Kila mwanamke ana tamaa kafata pesa kwa huyo Bwana?


Na hii ndio sababu watoto wa nje nao maisha huwa yanawanyookea tu kwa kudra za Mwenyezi
Ndani ya Ndoa is the best ila si kila kitu
Tumuogope sana Mungu SANAAA
Mungu si Athumani
 
Ngoja Watu wajichanganye,
Mtu ati mpaka mtoto ahudumiwe mpaka Vikae vikao, wapelekane kwenye mabaraza mpaka Mahakamani.
Huoni tayari njia hiyo sio sahihi.

Wanawake waelewe kuwa asilimia 90% ya wanaume hawawafikirii Watoto wa nje, na ndio maana hawawahudumii.
Unajua hata Hajiri alipopata kiu jangwani Mungu alimpa chemchemi na hadi leo tunakunywa maji ya zamzam tukienda Hijja
Tumuogope sana Mungu
Sanaaa
Mungu ni wa kila mmoja

Uko ndani ya ndoa kaa na mkeo tu all your life usizini nje
 
Tamaa huzaa Dhambi. Dhambi huzaa mauti. Nazidi kuumia juu ya watoto ambao ni outcome ya mistake ya mzazi/wazazi. Nawaza baadae itakuwaje. Sitegemei mtoto wa aina hii kuwa na upendo.

Kuna mdogo wangu alikataliwa na baba mzazi, na mama yake (shangazi) akaolewa kwngne so ikabidi mzee wangu amchukue amlee, maana yule baba mwngne hakuwa anamtaka huyu mtoto. Huyu mdogo wangu hanaga upendo na mambo ya kujali familia kabisa. Wengi wanajuaga nimefatana nae kwenye kuzaliwa na ni wachache sana wanafahamu kuwa sijazaliwa nae tumbo moja.

Kuna muda nilionaga mama anampendelea yeye sana kuliko mimi. Na pia mdogo wangu anaenifata kaivana sana na huyu kuliko mimi dada ake wa damu. Lakin huyu ndugu yuko so cold hearted. Anapenda marafiki, mashosti basi. Ni mtu ambae anajijaligi yeye kama yeye. Hata wazaz wangu si kwamba anawajali kihivyo. Ni mtu flani very cold. Upendo wake kwa wanafamilia ni mdogo sana.

Najaribu kusema ivi.. baadae..in the future, ile prophecy ya upendo utapoa itaonekana dhahiri. Mtu kalelewa na mama yake tu huku akiona either mama anavyostruggle kumlea kwa tabu, ama kulishwa sumu na mamaye kuwa baba ako hakujali anajali ndugu zako wengne akat wewe ni mtoto wake. Huyu atalishwa sumu kuanzia mwaka 1 mpk miaka lets say 8. Usitegemee huyu mtoto kuja kuwa na upendo ama kuwapenda ndugu zake despite kilichopita baina yake na baba yake.

Sijui watoto wa baadae watakuwaje. Tunaenda kupata a very weak nation. Mtoto anahitaji baba physically katika malezi. Hasa wa kiume. Kuna mambo ama mising ya kiume inahitajika kupasishwa from baba to son. Leo son yuko kwa mama ake huko hata kama ni wa nje..tutatokea wapi? Sad stuff am seeing coming. Disaster actually.
Js imagine
Uzuri Mungu yupo na ye mizani yake si kama binadamu

Hata hichi watu wanachopigia debe hapa hawajui madhara yake

Issue ya msingi ni aliyeoa usizini nje ya ndoa yako.,mtoto akizaliwa wajibika
Fainali uzeeni
 
Kalenda ya uzazi Mungu kaiweka kwa mwanamke. Hivyo anapaswa kujijua na kuchukua tahadhari kuepuka mimba zisizo tarajiwa.

Utamlaani Mwanaume kukutelekeza lakini itakuwa kama dua la kuku lisilompata mwewe.
Uzuri Mungu ana mzani wake
Iweje mwanandoa unazini nje?
Na kama huna ndoa uasherati wa nini?
Tumuogope Mungu Sanaaaa jmn
 
Bwana Robert Heriel wanaokupinga hawajaelewa Ulichokiandika. Niwasaidie tuu kuwajulisha kuwa Mleta Uzi Hana Nia ya kuwataka wanaume wasilee watoto wa nje la hasha! Bali wanawake wasizae na waume za watu au wanaume ambao hawajawaoa Kwa kutegemea matunzo sawa na watoto wa Ndoa.


Mimi naungana na Robert kuwaasa kinadada kutokufanya mapenzi na wanaume wasio waume zao. Wafahamu ni heri atelekezwe na Manaume aliyemuoa kuliko atelekezwe na mume wa mtu au mwanaume ambaye hajajitambulisha Kwao.

Wanaume tuepuke wanawake wanaotuomba mbegu Kwa ahadi ya kuwa hawatasumbua wake zetu.
Midomo ya Malaya Hudondoza Asali.
Sijui kwanini mnakimbia kuwajibika
Mwanaume usizini na asie mkeo
Na usifanye uasherati na kuzaa ovyo
Oa zaa na mkeo tu na utulie tulii maisha yako yote na mkeo tuuu
Mbona hili ni jepesi

Uzinzi Mungu kakataza
 
Sio kila mahusiano yanalenga kuzaa wanawake wanapaswa kujua hili.

Hata kwenye ndoa tu wanaume wanazaa kwa hesabu sembuse nje huko unazani atakuelewa?!
Kwanini kuanzisha mahusiano yasiyo na malengo afu watoto mnatelekeza?
Usifanye tendo na mtu usiyetaka kuzaa nae.
 
Unajua hata Hajiri alipopata kiu jangwani Mungu alimpa chemchemi na hadi leo tunakunywa maji ya zamzam tukienda Hijja
Tumuogope sana Mungu
Sanaaa
Mungu ni wa kila mmoja

Uko ndani ya ndoa kaa na mkeo tu all your life usizini nje

Kwa mwanaume uzinzi ni starehe ambayo haimuathiri kama Dada zetu.
Ndio maana wazee wetu wa kale hawakuwa wajinga kumdhibiti Mwanamke dhidi ya kuziniwa ili Asipate madhara
 
Back
Top Bottom