DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ukiona mtu anajizima data wkt wa ngono ujue Hilo Ni tatzo tayar"Kwenye suala la ngono hakuna mwanaume anayejitambua".
Sikujibu tena kwa kuwa hujitambui, bado hujakomaa akili.
Kwa heri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mtu anajizima data wkt wa ngono ujue Hilo Ni tatzo tayar"Kwenye suala la ngono hakuna mwanaume anayejitambua".
Sikujibu tena kwa kuwa hujitambui, bado hujakomaa akili.
Kwa heri.
MENTAL CASE ALERT!!!Kwenye suala la ngono hakuna mwanaume anayejitambua.
Wanawake lazima waelewe kuwa Sisi wanaume tunapofanya ngono tupo Kwa lengo la kuridhisha Nafsi zetu.
Jukumu la mahusiano na ndoa lipo Kwa Mwanamke.
PumbaNi watoto wangapi wamelelewa ndani ya ndoa na baba zao hawawatunzi iwapo kigezo cha mtoto kutunzwa na baba yake ni ndoa?
Sijasema popote wazazi wasiishi pamoja wala mabinti wabebe mimba nje ya ndoa, ila nasema iwapo mimba imetungwa haijalishi imetungwa ndani ya ndoa, nje au pembeni ji jukumu la baba kushiriki malezi kwa kuwa alijua matokeo ya ngono yanaweza leta mimba pia.
Kama ilivyo wajibu wa mwanamke kujikinga na mimba vivyo hivyo na mwanaume anatakiwa kuchukua tahadhali iwapo hahitaji mtoto ndio maana kuna kondomu, uloweke halafu uje useme hutaki unajitambua kweli wewe. Ulipokuwa unapanda mbengu ulidhani unapanda maharage?
Nasema una chuki, mihemko na akili kidogo kutokana na mfululizo wa maandiko yako yasiyokuwa na tija zaidi ya porojo na kufundisha wajinga wenzio ujinga.
Ni haki ya mtoto kutunzwa na baba na mama haijalishi kazaliwa katika mazingira gani kwa kuwa wote mlijua mkifanya ngono kitatokea nini kwa hiyo kama wewe mwanaume huhitaji mtoto tumia kondomu sio kuja kutafuta utetezi wa mwanamke kabeba mimba bila kuniambia kwani hukujua mbegu za kiume unazomwaga zinaleta mtoto au ulidhani zitazaa mihogo,hEBU ACHENI UPUUZI bwana jitambueni bro,
Mwanaume anayejitambua hawezi lalamika ujauzito kwa kuwa alikuwa na option ya kujadili kabla au kutumia kinga, uzembe wako mzigo wako.
Tafsiri yake ukiwachepuko pambana mume wa mtu akumegee chako mapemaUkweli siku zote huwa unakua mchungu. Na ukweli siku zote huwa unauma. Wenye kuelewa wataelewa na wasiotaka kuelewa ipo siku wataelewa.
Mi mwenyewe ni mwanamke na ni mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake lkn sisi wenyewe hatujui tunachotaka na hatupendani na ndo maana tunakuwa wahanga wa kila kitu.
Wanawake tunapaswa kusimama kwenye ndoto zetu. Ishawahi kutokea kesi moja mke mdogo ameenda kumshtaki mke mkubwa eti amemnyima urithi mtoto wake.
Huyo baba alikuwa na familia yake na alikuwa na mali nyingi tu alizochuma na mke wake ikiwemo mifugo. Alipata nyumba ndogo akazaa naye baada ya miaka 3 yule baba akafariki akaacha mtoto wa bi mdogo akiwa na miaka. Sasa yule mama amabye ni mke mdogo akaanza kudai haki eti bi mkubwa ampe urithi wa mtoto wake maana yule bwana kaacha mali nyingi. Nikasema wanawake ki ukweli tumrogwa. Nikamuuliza ulikuwa hujui kama alikuwa na mke nilikua najua ,,eeeh mara oooh alikuwa anagombana na mke wake. Eeeh kisha sasa wakati upo na huyo bwana alishakupa hata ngo'mbe hapo wawili ufuge tu kwa ajili ya watoto wako,,,jibu hapana. Haya umesema anamaeneo mengi je alishawahi kukupa hata kajieneo tu kwa ajili ya mtoto wako hapana. Sasa leo hii yule bi mkubwa akupe wewe urithi kama nani? kama huyo bwana tu uliyesema anakupenda alishindwa kukupa? Nikamwambia tu nenda kajifikirie ungekuwa ndo wewe upo kwenye nafasi ya yule bi mkubwa ungechukua maamuzi gani? Huyo akaondoka zake
Ni visa vingi ambavyo ki ukweli ambavyo nikisema humu sidhani kama kuna watu watatetea. Ki ukweli wanawake tunafeli sana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwenye ngono najitambua, siwezi fanya ngono zembe hata kama nina ukame wa miaka 50, akili zinatofautianaWewe ndio hujitambui,
Kama ungekuwa umekomaa Akili usingeshindwa kulijua Jambo Hilo kuwa Sisi wanaume Mbele ya ngono hatuna ujanja, hatujitambui.
Kila la kheri, ukienda kujifunza Jando maana unaonekana hukupita huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona unasema kishujaa mwenyewee ila kiukweli wanaume ukikutaa mwanamke pisiii genyeee lazimaa ziongoze akili yako labda kama unakutana na wabovuuu...Mimi kwenye ngono najitambua, siwezi fanya ngono zembe hata kama nina ukame wa miaka 50, akili zinatofautiana
Mimi kwenye ngono najitambua, siwezi fanya ngono zembe hata kama nina ukame wa miaka 50, akili zinatofautiana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona unasema kishujaa mwenyewee ila kiukweli wanaume ukikutaa mwanamke pisiii genyeee lazimaa ziongoze akili yako labda kama unakutana na wabovuuu...
Tamaa huzaa Dhambi. Dhambi huzaa mauti. Nazidi kuumia juu ya watoto ambao ni outcome ya mistake ya mzazi/wazazi. Nawaza baadae itakuwaje. Sitegemei mtoto wa aina hii kuwa na upendo.
Kuna mdogo wangu alikataliwa na baba mzazi, na mama yake (shangazi) akaolewa kwngne so ikabidi mzee wangu amchukue amlee, maana yule baba mwngne hakuwa anamtaka huyu mtoto. Huyu mdogo wangu hanaga upendo na mambo ya kujali familia kabisa. Wengi wanajuaga nimefatana nae kwenye kuzaliwa na ni wachache sana wanafahamu kuwa sijazaliwa nae tumbo moja.
Kuna muda nilionaga mama anampendelea yeye sana kuliko mimi. Na pia mdogo wangu anaenifata kaivana sana na huyu kuliko mimi dada ake wa damu. Lakin huyu ndugu yuko so cold hearted. Anapenda marafiki, mashosti basi. Ni mtu ambae anajijaligi yeye kama yeye. Hata wazaz wangu si kwamba anawajali kihivyo. Ni mtu flani very cold. Upendo wake kwa wanafamilia ni mdogo sana.
Najaribu kusema ivi.. baadae..in the future, ile prophecy ya upendo utapoa itaonekana dhahiri. Mtu kalelewa na mama yake tu huku akiona either mama anavyostruggle kumlea kwa tabu, ama kulishwa sumu na mamaye kuwa baba ako hakujali anajali ndugu zako wengne akat wewe ni mtoto wake. Huyu atalishwa sumu kuanzia mwaka 1 mpk miaka lets say 8. Usitegemee huyu mtoto kuja kuwa na upendo ama kuwapenda ndugu zake despite kilichopita baina yake na baba yake.
Sijui watoto wa baadae watakuwaje. Tunaenda kupata a very weak nation. Mtoto anahitaji baba physically katika malezi. Hasa wa kiume. Kuna mambo ama mising ya kiume inahitajika kupasishwa from baba to son. Leo son yuko kwa mama ake huko hata kama ni wa nje..tutatokea wapi? Sad stuff am seeing coming. Disaster actually.
Wanawake Ni dhaifu sn linapokuja suala la kutumia akili Kwny maamuz ya mahusiano.
Wanatabia ya kuamini Watu kirahisi rahisi,
Usipojiongeza utajikuta unamzalisha kila mwanamke.
Wee unapita, ila yeye anajiachia akiamini utadumu nae daima. Tatizo liko hapo
😁😁 eti jela, unafikiri ni rahisi hivyo jaribu kushika mimba ya mwamba mwenye familia yake alafu uje uandike tena hapa ulivyofanikiwa kumfunga.- ukipelekwa Mahakamani, inakuwa ni lawful order, ukiikiuka unapigwa contempt of court/kudharau mahakama, unaenda jela
Rudi shule ujifunze ngono zembe n. KKufanya ngono tuu nje ya ndoa ni kutokujitambua.
Hakuna ngono salama nje ya ndoa.
Ukishatoka nje ya ndoa hiyo inaitwa ngono zembe. Na upo kundi la wanaume wasiojitambua.
Rudi shule ujifunze ngono zembe n. K
😁😁 eti jela, unafikiri ni rahisi hivyo jaribu kushika mimba ya mwamba mwenye familia yake alafu uje uandike tena hapa ulivyofanikiwa kumfunga.
Kama mke wangu hazai je
Jaman msihofu wanawake tutalea wote
Sioni Vifungu vya Sheria.Jukumu la kumtunza mtoto ni la wazazi wote wawili bila kujali mwanaume ana ndoa nyingine. Mtoto hawezi kukosa haki zake eti kwa vile wewe una mke wa ndoa. Utamtuza mtoto na mama yake wakati wa uzazi na kumtunza mtoto na kumpatia haki zake za msingi hadi afikie umri wa utu uzima.
Pia, mleta mada anasahau kama wanaume ni wachache duniani. Eti kila mwanamke atulizane amsubiri mwanaume wa kwake peke yake!!!!! hamnaga kitu kama hicho na kamwe haitatokea chini ya dunia. Ukraine tu wananume sasa wamebaki wacahache.