Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Mkuu naomba connection ya kubeba box abroad, nipe muongozo vitu vya kuandaa nijipange mpaka mwisho wa mwaka.Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,
Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
Kwa namna ambavyo hizi nchi zetu za Afrika zinaendeshwa, lengo na kipaumbele cha kwanza cha kijana wa kiafrika mwenye ndoto za mafanikio sustainable ilipaswa kuhamia nchi za bara la ulaya kufanya maisha.Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,
Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
kuna jamaa yangu yupo US tangu 2019 kwao tayari kushaanza kubadilika.Purchasing power mnayokua nayo mkirudi bongo imebadilisha mindset zetu.
akikupa usinisahau sisi ni familiaππ€Mkuu naomba connection ya kubeba box abroad, nipe muongozo vitu vya kuandaa nijipange mpaka mwisho wa mwaka.
toa connection bwanaππ€
Sawa mkuu kwakuwa tuna same interest tutapeana updates zaidi kuhusu hili.akikupa usinisahau sisi ni familiaππ€
Kwavile ID yako ni Half american basi tayari una 50% ya kupata chance ya kubeba box.Mkuu naomba connection ya kubeba box abroad, nipe muongozo vitu vya kuandaa nijipange mpaka mwisho wa mwaka.
Over Tsh 500m kwa mwaka, hongera mkuuMade over $204k last year! Fed tax return is over $37k, state $8k sijui mafanikio gani wanataka kuyasikia?
Kula nyama nyamaza , ngoja sisi wanatumbi tukalime bwasheeMade over $204k last year! Fed tax return is over $37k, state $8k sijui mafanikio gani wanataka kuyasikia?
Najua unazuga though!Kula nyama nyamaza , ngoja sisi wanatumbi tukalime bwashee
Na iwe hivyo mkuu tupeane miongozo ya kutengeneza kipato zaidi, huku jua kali
Mfuko wa cement bongo unaununua kwa bei ya mkate us.kuna jamaa yangu yupo US tangu 2019 kwao tayari kushaanza kubadilika.
CCM wanazidi kuharibu nchi mkuu. Inflation ipo juu, wealth gap inapanda nk.Zamani humu JF ilikua kila siku zinashushwa nyuzi za kutuponda wabeba box,
Nashukuru Mungu zama hizo zilipita na zimekuja zama za kutusifia wabeba box,
Hua najiuliza,sijui nini hasa kilicho pelekea watu kubadili mtazamo wao against wabeba box.
Sema na huko kwa wenzetu sasa hivi kunaibuka upinzani mkali sana dhidi ya wageni.Kwa namna ambavyo hizi nchi zetu za Afrika zinaendeshwa, lengo na kipaumbele cha kwanza cha kijana wa kiafrika mwenye ndoto za mafanikio sustainable ilipaswa kuhamia nchi za bara la ulaya kufanya maisha.
Tunahitaji mabalozi wa kuhama Tanzania wakutosha.
Fanyeni kuendelea kushusha nyuzi asee.
Mkuu naomba connection ya kubeba box abroad, nipe muongozo vitu vya kuandaa nijipange mpaka mwisho wa mwaka.