Ukizaliwa/ukizamia tu America ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ท tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Truth โ˜๏ธ
 
๐Ÿšฎ
 
Tunakuja kama mazombiii,tumevurugwaa kishenziii
Believe you me huyo chungwa akitoka tu tunatimbaa ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 

Hakuna nchi ambayo watu wote wamefanikiwa iwe wahamiaji au wazawa. Hapa tunazungumzia kwa ujumla wake tu. Ukweli unabaki kwamba on average life outcomes za mtu anayeishi nchi zilizoendelea ni better kuliko za mtu anayeishi Tz. Umeshawahi jiuliza kwanini Watanzania wengi wenye uwezo wanaenda kusoma / kutibiwa nchi zilizoendelea? Engineer wa kawaida Mtanzania anayefanya kazi Marekani na anayefanya kazi Tz disposable incomes zao ni tofauti ya sawa na mbingu na ardhi. Mengina kama kujenga kijijini kwenu ni uamuzi binafsi tu. Hayahusiani na vipato na hali za maisha.
 
Mfuko wa cement bongo unaununua kwa bei ya mkate us.
Acheni uongo bwana, Marekani kuna hadi mikate ya dola moja tu tena ni mingi sana na mitamu ile mbaya.

Kuna Supermarkets wamekuandikia nje everything under this roof is $1 yaani kila kinachouzwa humo thamani yake ni dola moja tu. Hivyo kulingana na mapato ya huko maisha sio magumu sana kama ilivyo huku, labda kodi ya nyumba ndio inakula sana hela japo umeme, maji na gesi gharama yake ni nafuu sana.

Kiujumla Marekani gharama ya maisha iko chini sana kuliko Ulaya na Afrika ukichukulia kimapato kwa sehemu zote tatu.
 
TAKATAKA ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ