Vingunguti, tandale,Wangeenda mbagala angalau ningewaona Wana akili.
Umetoa point za maana sana, hongera, lakini Fahamu,Piga ghorofa 20 kwenda juu tu hapo. Ofisi na apartments.
Panga parking za magari za kutosha.
Ongeza miundombinu ya kuongeza maji. Wekeza kwenye mifumo ya maji ya zimamoto na ofisi/ vifaa vyao.
Weka usafiri wa kueleweka wa mwendokasi.
Panga mitaa na shule, parks, open spaces etc.
Dar es salamm ina population growth rate ya 5%. Kwa rate hii, Dar ita double population kila baada ya miaka 15.
Serikali inatakiwa kujiandaa na mfumuko huu. By 2040 Dar itakuwa na watu mara mbili ya sasa.
Njia pekee ya kueleweka kujiandaa ni kujenga kuenda juu.
Ok,kwaiyo hapo si inatakiwa wananchi wapelekewe taarifa ya maandishi(kama Notice) na wafanyiwe tasmini, square mtr 233,000 eneo kubwa , boko basiaya nadhani lile eneo la wazi karibu na office za Dawasa, na kunduchi kule palipokuwa machimbo zamani,ambako kwasasa wana hati na walishapimiwaChini ya Land Acquisition Act, serikali inaruhusiwa kufanya "redevelopment" ya maeneo
Ayo maeneo serikali inataka kuweka karakana ya mwendokasi pale mbuyuni na mji mpya wa mashimoni, na pale boko basihaya wanaweka stendi kuu ya mwendokasiPiga ghorofa 20 kwenda juu tu hapo. Ofisi na apartments.