Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa


Atakayetaka kununua ndiye atakayelipa fidia lakini kumbuka sio lazima iwe fidia ni kwamba wanaolipwa fidia ni maeneo serikali itakayoyataka kwa miuondombinu yake, wengine wote ni kwamba wamepewa ruhusa ya kuuza nyumba/assets zao! Watakasubiri fidia ni barabara zitakapopita na mali za umma zitakapojengwa, wengine wote watauza kwa raia na makampuni yanayotaka

Na miradi ya namna hii kama ina mikopo na misaada inakuja? Who knows, serkali hii ina maovu mengi lakini pia sio lazima kila kitu kiwe kiovu. Itakuwa mpango huu umechukua miaka na wataalam wa nje na ndani kuuandaa hadi umefikia viwango vya hatua hizi, wakati ni ukuta tusubiri na tuone kama hii ambitious project/program itafanana na zingine ila napongeza kwa maono haya hata kama yatachukua miaka 100 yatabaki kwenye historia
 
Mkuu,

Kujengwa kwa makazo nako kitachochea uchumi kujua kama kutafanywa kqa mkakati.

Ni kiasi cha serikali kujipanga kutumia wakandarasi wa ndani, kudhibiti mzunguko wa oesa uwe ndani.

N8mekuambia waliopo hapo hawahitaji kuhamishwa, wakioewa nyumba hapohapo ghorofa linajengwa la ghorofa 25, ghorifa za chini unawapa waliopo hapo wanazimikiki iutright wewe serikali au muwekezaji unachujua juu huko, hapo aliyepo sasa.

Hiyo tiwwr ya Sinza iki wazi kwa sababu iko moja, ina rent za juu sana, ni commercial property.

Ukijenga nia za hivyo, kwa residential apartments, kwa mpango wa kurudisha hela miaka mingu, huna sababu ya kuweka rent kubwa.

Ukiwa na special mortgage ya miaka 30 hapo hata wafanyakazi wa serikali unaweza kuwauzia apartments
 
Mkuu umeandika mambo ambayo hayaeleweki, nimesoma lakini nimeshindaa kuelewa.

Ngoja nikuulize hivi pengine tutaelewana. Ni Nani amekuambia kuna huo mradi wa kujenga upya hilo eneo? Au umetoa wapi hizi habari za eneo hilo kutakiwa kupangwa upya au kujengwa upya?
 
Ifutwe yote tu, temeke yote, yaani mitaa ya uswahilini yote, mwananyamala, kijitonyama, gongo la mboto, mbagala, tabata, bunju, tegeta, ukonga. Uswazi yote zukumiza mbali. Peleka bagamoyo, kisarawe, chalinze ili ijulikane tu jiji linapangwa upya
 
Unajua mnaongea mambo ya kufikirika sana. Hiyo commercial real estate yenye mtaji mkubwa wa kununua na kujenga upya kata nzima ni ipi hiyo?
 
ningependa kuanzia mori kijiweni mpaka ile ya kutokea tandale magomen mpaka pale kwenye makabur waichkue ipangwe upya
 
Siongelei uchumi uliopo.

Nimepanua mawazo zaidi kuongelea uchumi unaowezekana kuwepo.

Hii ndiyo tofauti yako wewe na mini.

Wewe umeifunga akili yako kwenye uchumi uliopo mpaka unashindwa hata kuzungumzia uchumi unaoweza kuwepo.
 
Hata hayo makaburi wayahamishe tu ili viwanja vipatikane, makaburi ya kinondoni, kisutu, chang'ombe, mburahati na mengine, si ndiyo wanataka kupanga jiji upya? Kazi wanayo
 
Unaongea mambo ya kufikirika zaidi. Hayo ni maeneo ya watu binafsi, kuyachukua ni kuwalipa fidia sababu wakati unajenga wao hawatakuwepo au unafikiri utajenga bila kubomoa nyumba zao?

Hakuna namna nyingine zaidi ya kukipa fidia waliopo. Wahame alafu ndio uanze huo ujenzi. Hayo ya kukubaliana mje mgawane, huo muda hao wakazi wote wanakua wanaishi wapi?
 

Tumuulize mtoa mada mkuu! Nimechangia kama mpita njia anayekerwa na status quo tu mkuu sina maslahi yoyote
 
Kwani wapi nimekataa kulipa fidia?
 
Mipango mizuri sana, kwenye utekelezaji ndipo tutaona NIA na usahihi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…