Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri kuna haja ya ku address tatizo la makazi la Dar ambapo watu wanaenda.Hamna kitu. Ujinga mtupu na uchochoro wa kuiba hela unaandaliwa.
Nchi kubwa hii. Serikali Ina uwezo mkubwa wa kujenga mji MPYA kabisa let say Bagamoyo ambapo mapori mengi wanafuga wamasai na wamang'ati...... Hiyo hela ya fidia inatosha kufidia maeneo makubwa zaidi bagamoyo na kuweka miundombinu......
Mkuu hilo ni eneo dogo sana, sio la kuleta mabadiliko makubwa kiasi cha kuifanya Dar-es-salaam iitwe Dar-es-salaam mpya. Hizo ni ekari 47 tu.
Mkuu usistushwe na ukubwa kwa mita za mraba. Ukubwa huo ni mdogo sana maana mita za mraba zilizotajwa hapo ni sawa na ekari 47 tu ambazo pia hazipo pamoja.
Mkuu, ukilinganisha na ukubwa wa mji wa Dar-es-salaam ambao una ukubwa wa ekari 285,714, hizo ekari 47 hazina impact kiasi hicho!!
Mkuu,Wala sababu sio rent. Wapo wanalipa rent kubwa chini kuliko ambayo ipo kwenye hizo sky scrappers.
Maghorofa yapo mengi post na hayana watu, Hilo la demand na supply na kuleta unafuu wa rent mbona bado hakuna watu?
Ukiwa unazungumza haya unapaswa kujua unazungumzia Tanzania ambayo 50% ya population cant afford three meals.
Hilo la government subsidies liondoe maana ni wazo ambao uhalisia wake haupo. NHC wamefanya projects na husema wanaweka subsidies gharama nafuu but still two bedrooms apartment inacosr around mil 200. Nani wa ku afford kulipa mil 200 kwa room mbili?
Linaweza kuboreshwa kwa kupanuliwa nje ya hapo.... Kunakuwa na old city na new cityUmeambiwa Jiji linaboreshwa
HBy 2040 hiyo inakuwa 16 million.
Ni kama unaongeza Dar nyingine ndani ya Dar.
Bila kujenga kwa kwenda juu tutabanana sana.
Pia itabidi tufanye kazi masaa 24, karibu kila ofisi iwe wazi masaa 24, watu wagawane shift, wengine usiku, wengine mchana.
Mimi najichanganya au wewe?Mkuu,
Mbona unajichanganya?
Unasema tatizo si rent, halafu unasema Tanzania 50% ya watu hawawezi ku afford three meals.
Sasa huoni kuwa nchi ambayo 50% watu hawawezi ju affird three neals, hapo rent automatically ni kipengele kwa 50% ya market?
Maghorofa mengi unayosema ni mangapi?
Hawaboreshi mkoa bwashee bali Wanaboresha Jiji 😂Linaweza kuboreshwa kwa kupanuliwa nje ya hapo.... Kunakuwa na old city na new city
Ndoto hizo. Hayo ili yafanyike yanahitaji pesa na muda mrefu. Hiyo pesa ipo wapi?
Sawa kabisa. Hatukatai basi wa- annex Bagamoyo iingizwe Dar halafu ijengwe upya na kwa mpangilio..Nafikiri kuna haja ya ku address tatizo la makazi la Dar ambapo watu wanaenda.
Kama mji mpya serikali imehamisha makao makuu ya nchi, capital city, kwenda Dodoma, tangu miaka ya 1970s, lakini mpaka leo watu hawataki kwenda wanakaa Dar.
Hata rais muda mwingi yupo Dar.
Mabalozi wako Dar.
Unapoona maji yanashuka kutoka mlimani kuja chini baharini, usiyalazinishe yapande mlima, fanya mambo yako yaende na mkondo wa maji kwenda chini.
Usihofu mzee, bila shaka utapata haki yako kwa mujibu wa sheria. Ila uthaminishaji wa serikali kwenye kulipa fidia kuna changamoto. Unaweza kulipwa pesa "kiduchu" wakati eneo ni la kulipwa mahela mengi.Nna kibanda changu pale Sinza Mori ngoja nifatilie 🐼
Hawaboreshi mkoa bwashee bali Wanaboresha Jiji 😂
By the way my bad.... 230,000sqm ni chache tu kama viwanja 20 tu vya mpira wa miguuIpo kutoka world bank, ni mradi wa mwendokasi hadi boko basihaya
Hizo ni alinacha, rejea bonde la msimbazi watu wamelipwa hela isiyozidi milioni mbili na kutakiwa waondoke. Usidhani msimbazi ni kwa ajili ya kujenga njia za mafuriko tu mpango uliopo ni kuwapa wawekezaji yale maeneo wajenge maghorofa lakini wamiliki halali wa hayo maeneo wamelipwa pesa kiduchu.Ume assume mengi sana ambayo sijasema.
Ume assume nimesema kila mwekezaji wa dunia nzima aje kupewa ardhi hapo. Sijasema hili.
Ume assume nataka wananchi waondolewe hapo. Sijasema hilo.
Ume assume nataka walipwe fidia isiyo market value. Sijasema hilo.
Ume assume sijui kuwa kuna masuala mengine ya uchumi yanayotakiwa kufanyiwa kazi. Sijasema hilo.
Kote humo ume assume wrong.
Mimi Bibi yangu alikuwa na nyumba hapo Sinza si mbali na Mlimani City. Kuna mjomba wangu karithi yupo mpaka leo.
Ukivunja nyumba kama zile tano na kujenga ghorofa 25, halafu pale chini ghorofa ya chini kabisa kukawa na nyumba tano za wale uliowavunjia nyumba wabaki palepale, ukawalipa fidia ya kuvunja nyumba zao (ya sentimental value)halafu uwaache wawe pale ghorofa ya chini wapangishe watu au kutumia kama nyumba au biashara, hapo unahitaji kuwahamisha waende wapi tena?
Huoni kwamba kuwa hapo si tu hujawahamisha, bali pia umewaongezea value sehemu hiyo itakuwa inavutia biashara zaidi, wanaweza kuzidisha rent na wakiamua kufanya biashara wanaweza kufanya biashara kubwa zaidi?
Unajua mnapenda kujadili vitu vya kufikirika sana. Story za hivi ndio mnapenda. Hilo tangazo na sijui ramani nani kakueleza?Inawezekana kabisa, tangazo likitoka ina maana muda wowote kutafanyika mabadilko na ramani ikitoka maana yake inavuta hata wawekezaji na watu binafsi kununua na kujenga upya! Haimaanisi ni serikali itafanya kila kitu, itafanya vitu vyake tu kama kusimamia na kuweka miundombinu tu, hili limechelewa sana angalau wamethubutu tuwapongeze
Wanaweka karakana tu za mwendokasi hakuna kupanga upya waka nini, punguza uchawaDar inapangwa upya, Sinza inasukwa upya, maeneo jirani na Mlimani City yanasukwa upya. Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000 na kulipanga upya.
Maeneo kama Sinza yana viwanja vya 20/20, na maeneo hayo kwa sasa ndio ujenzi mkubwa wa maghorofa unakuja. Ni vyema serikali imeyatwaa maeneo hayo ili iyamiliki, ifute ramani ya eneo hilo, ifidie, kisha ilipange upya, na kugawa viwanja vikubwa kwa uwekezaji mkubwa.
Kama ujenzi ungeendelea kwa hali ilivyo, maeneo hayo yangekuwa hayana mvuto, na yenye msongamano.
Hii iende mpaka Tandale kwa awamu, tuipate Dar tunayoitaka.
View attachment 3171283
Huyo wa kununua watu wote buguruni, tandale, keko, vingunguti n.k alafu akajenga upya maghorofa ni Nani?Wazo zuri nilikuwa nalo kichwani mda mrefu. Japo nilikuwa nafikiria wangeanzia kule buguruni.. wangewanunua wale watu halafu wakasimamisha magorofa. Dar ingependeza