Ukoloni Mamboleo: Media za kenya zaonyesha Live Harusi ya Mjukuu wa Malkia Elizabeth

Ha ha ha eti muafrika kuolewa na mjukuu wa mfalme!!
Labda Mfalme Mswati angeoa mjukuu wa malkia ningeelewa

mama na mtoto,huyu dada kafanana na dada mmmoja nilimuona Pemba kipindi fulaniπŸ˜€πŸ˜€
 
Kuonesha kwenye TV ndiyo unaonekana kuwa mwafrika?
Are you stupid or something?
What will you gain kama utaonesha kwenye TV!!?
Poor Kenyans. Mbona wapo waafrika wengi tu wanaolewa na kuoa wazungu wamuoneshi kwenye TV?
Hii inaitwa kujipendekeza na ujinga.
 
Hii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..πŸ˜€πŸ˜€
Ndio maana yake mkuu hata Obama anaitwa mweusi,mtu yoyote alichanganya na mtu mweusi hata awe mweupe kama karatasi basi anatambulika mweusi,..."Black is institutionalize"..
 
Tanzania wametunyima uhondo wa harusi sababu ya ushamba tu, huwezi kuondoa ukoloni mamboleo kwa kususia tu harusi ili hali kila kitu unatumia cha Muzungu!
 
Kwani iliponyeshwa harusi ya Ali Kiba watu wali "gain" nini??
 
Hii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..πŸ˜€πŸ˜€
Huyu jamaa nadhani hawajui wazungu. Walipo muweka Obama kuwa rais kuna mambo gani muhimu aliyafanya!? Zaidi ya kuendelea kuwaua waafrika na kumuua Muammar Gaddafi aliyekuwa anapigania Africa Union.
 
Ndo maana nkasema huwezi kuuongelea ukoloni mamboleo.
 
Huyu jamaa nadhani hawajui wazungu. Walipo muweka Obama kuwa rais kuna mambo gani muhimu aliyafanya!? Zaidi ya kuendelea kuwaua waafrika na kumuua Muammar Gaddafi aliyekuwa anapigania Africa Union.
Watanzania ni watumwa wa siasa,sasa siasa imeingiaje hapa!?kuna maisha bila ya siasa, kaka
 
Kwali iliponyeshwa harusi ya Ali Kiba watu wali "gain" nini??
Je, Harusi ya Alikiba Citizen,KTN and NTV walionesha!?
Huu ni ujinga wa wakenya. Wakenya mnaturudisha nyuma sana katika kulikomboa bara la Africa.
 
Je, Harusi ya Alikiba Citizen,KTN and NTV walionesha!?
Huu ni ujinga wa wakenya. Wakenya mnaturudisha nyuma sana katika kulikomboa bara la Africa.
Kwasababu harusi ya Ali Kiba haina umuhimu wowote,kisiasa,kiuchumi nk,wakenya wajanja,wakenya wanaona mbali sio kama watanzania kila kitu siasa...
 
Na pia Tanzania hatumudu gharama za uoneshaji live ndomana hata Bunge Live tumeshindwa kuonesha
 
Watanzania ni watumwa wa siasa,sasa siasa imeingiaje hapa!?kuna maisaha bila ya siasa, kaka
Hakuna maisha bila siasa kijana. Hata hiyo ndoa ni siasa. Mtoto wa Malkia ni mwanasiasa.
Hebu niambie kipi cha maana sana kwenye hiyo ndoa!!? Kustisha matangazo ya TV zote na kuonesha harusi ya kakijana kamoja tu toka uingereza. How stupid is this.
 
Na pia Tanzania hatumudu gharama za uoneshaji live ndomana hata Bunge Live tumeshindwa kuonesha
Inawezekana..,lakini safari na mikutano ya Magufuli inaonyeshwa LIVE,watanzania wamebanwa kimawazo,kweli unafikri Bunge halionyeshi LIVE kwasababu za ghrama,..
 
Royal family marriages are inter families when you traced the family tree of her farther you will notice the connections with the royal family's bloodlines that's why it's not a big deal for them if her mother is not white as long her father is from their bloodline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…