Ukoma wa Dodoma unavyoliathiri Taifa


Nyerere alikuwa kama hamnazo vile?
Watu wavunje nyumba ya kisasa wahamie ya tembe dah
 
Tuandike proposal kwa donor tuanze kuwahamisha
 
Nzi, Vumbi, Upepo, Baridi, Hatari Sana
Nilikuwepo Huko Dodoma wiki iliyopita yaani Dodoma Hali ya hewa ni shida Sana kuanzia mchana kuna jua Kali linapiga balaa alafu miti karibia mji wote imekauka na ikishafika SAA 11 jioni baridi Kali na upepo unaanza hapa SASA ndiyo balaa linaanzia...
Maji ni ya chumvi na ukioga kumbuka kujiloweka kwenye mafuta ili mwili usipauke
 
Wanatakiwa kufanya kampeni kabambe ya kupanda miti ya kivuli maana si kwa upepo ule
 
Wanyakyusa bana
 
Hivi ndivyo Watanzania tulivyo kwenye ulimwengu wa roho
 
Dodoma ndio lango la baraka na lango limejaa ukoma na upofu, tumekwisha kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…