Ukoma wa Dodoma unavyoliathiri Taifa

Ukoma wa Dodoma unavyoliathiri Taifa

Nilikuwepo Huko Dodoma wiki iliyopita yaani Dodoma Hali ya hewa ni shida Sana kuanzia mchana kuna jua Kali linapiga balaa alafu miti karibia mji wote imekauka na ikishafika SAA 11 jioni baridi Kali na upepo unaanza hapa SASA ndiyo balaa linaanzia...
Maji ni ya chumvi na ukioga kumbuka kujiloweka kwenye mafuta ili mwili usipauke
Mji Mgumu Hali Ya Hewa Ngumu, Maji Chumvi, Vumbi
 
  • Tiba ya kizungu ilikwama baada ya wananzengo kuwachoma watafiti wakidhani wanafanya ulozi wa ardhi yao.
  • Kwa tiba ya kiafrika, je aliyeweka irizi yupo tayari kuitoa?
Haa Dodoma Pagumu
WAnawaita Wananzengo Na Wadala
 
Ni wapi ambako hamna Nzi?? Eti baridi na makete wasemaje??
Nzi wa kule ni tofauti.Nzi hao hueneza ugonjwa wa macho.Na upepo wake ni mkavu,unachusha na kupausha hadi ngozi kupasuka kama gamba la mti.Makete kuna baridi kama Ulaya.Uliwahi sikia Makete wanalia njaa?
 
Hatari
 
Yaani mji mzima umejaa wakoma na upofu, halafu haya ndio makao makuu ya nchi.

Hii taswira inafikirisha sana, sijui kwanini walichagua mahali penye laana ya ukoma na upofu ndio pawe makao makuu ya nchi?

Matokeo yake uchumi wetu una ukoma, soka letu lina ukoma, maendeleo yetu yana ukoma, miradi yetu tuliuoiita miradi mikubwa ya kimkakati imejaa ukoma, sio wa treni ya mwendokasi, wala sio bwawa la kuzalisha umeme kule Rufiji tulikokata zaidi ya miti milioni mbili, kote kumejaa ukoma.

Sasa tunafikiria kwamba tozo zinaweza kutuponya na ukoma, huku ni kujidanganya.
niko Dodoma na sijakutana na mkoma hata mmoja. hao wakoma wapo wapi? au unamaanisha hawa machangudoa wanaofuata wabunge hapa?
 
Bora makao makuu wapeleke Singida aisee......Dodoma ni changamoto sana.
 
niko Dodoma na sijakutana na mkoma hata mmoja. hao wakoma wapo wapi? au unamaanisha hawa machangudoa wanaofuata wabunge hapa?
Unaishi Sehemu Gani Dodoma?Isijekuwa Hujichanganyi Na Jamii
 
Unaishi Sehemu Gani Dodoma?Isijekuwa Hujichanganyi Na Jamii
mida ya jioni njoo pale chako ni chako, au royal, au esperance, au maeneo yote. ukinikosa huko basi njoo katikati ya mji barabara zote 8.
 
mida ya jioni njoo pale chako ni chako, au royal, au esperance, au maeneo yote. ukinikosa huko basi njoo katikati ya mji barabara zote 8.
Kuishi Kwako Dodoma Hujaona Hayo
Hapo
 
Makao makuu ya hospitali ya machizi yako Dodoma ndio maana hata watafiti wa afya wanasema nchi yetu kwenye kila watu wanne mmoja zezeta. Kidumu chama cha Mazezeta
Kwa hiyo uwepo wa mirembe Pyschiatric hospital inaonyesha ni makao makuu ya machizi pia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom