Ukoma wa Dodoma unavyoliathiri Taifa

Ukoma wa Dodoma unavyoliathiri Taifa

Makao makuu ya mirembe,
Bunge ndani ya matonya land upuuzi waviongozi
 
Nilitoka huko...lakin huwezi ifananisha
Na kigoma kwa wala mua
Kilimanjaro na Kigoma hakuna cha maana. Kote kumejaa vumbi, na mapori.
Kilimanjaro labda inaizidi Kigoma miti na mabaa ya pombe
 
Yaani mji mzima umejaa wakoma na upofu, halafu haya ndio makao makuu ya nchi.

Hii taswira inafikirisha sana, sijui kwanini walichagua mahali penye laana ya ukoma na upofu ndio pawe makao makuu ya nchi?

Matokeo yake uchumi wetu una ukoma, soka letu lina ukoma, maendeleo yetu yana ukoma, miradi yetu tuliuoiita miradi mikubwa ya kimkakati imejaa ukoma, sio wa treni ya mwendokasi, wala sio bwawa la kuzalisha umeme kule Rufiji tulikokata zaidi ya miti milioni mbili, kote kumejaa ukoma.

Sasa tunafikiria kwamba tozo zinaweza kutuponya na ukoma, huku ni kujidanganya.
Hivi ukoma bado ni janga kubwa nchini la kuhitaji mkakati wa kulikabiri? Kwa fikra zangu kuna magonjwa yanayohitaji kupewa kipaumbele zaidi ya ukoma; kama vile malaria, TB na cholera. Magonjwa niliyoyataja yanaambukizwa kirahisi zaidi ambapo kuambukizwa ukoma kunahitaji uzembe wa hali ya juu. Naifahamu familia yenye watoto 11. Wa kwnza alipata ukoma na hakuna mwingine aliyeugua ugonjwa huo mpaka hii leo.
 
Ukoma ni ugonjwa wa laana
 
Maamuzi ya kukurupuks ya Mwendazake baada ya kuona Dar imechukuliwa na upinzani, Yule jamaa angekuwa hai yule na siasa zake sijui. Bashite nae akaamua kuchrza bampingi zake, Mungu yupo jamani. Ndugai naye kalipokea bampingi kule bungeni Mungu kamsanzua.
 
Back
Top Bottom