Ukomo wa Toyota Crown Sedan

Sawa kwa features mjerumani ana lead ila kwa ubovu pia ana lead. Toyota ana features chache zaidi ila they do work through years of ownership bila matatizo.

Mjerumani gari zake hazidumu katika ubora wake esp. after warranty kuisha na matatizo yanaanza ndio maana hushauriwi kununua gari ya kijerumani iliomaliza 100,000km ila Toyota unaweza nunua yenye hata 115,000km za mileage ila ikawa ina perform flawlessly through years of ownership ikihitaji basic mainatance tu.
 
Gari kama NOAH yaani nadhani spare ya bei ghali hata haizidi TZS 200,000/- kwa nini nikimbilie AUDI na BMW
 
Sins
Gari kama NOAH yaani nadhani spare ya bei ghali hata haizidi TZS 200,000/- kwa nini nikimbilie AUDI na BMW
Sindio maana watu wanaojitambua mtu huwezi invest kwa Slay Queen ilihali una uchungu na pesa zako ila unaweza fanya hivyo tu kama matamanio yako yanazidi umuhimu wa pesa.

The same theory ina apply kwenye magari...Huwezi invest on BMW sababu ya fancy stuffs zake ambazo ni more costfull in the long run. Ndio maana yanabaki kuwa magari ya matajiri ambao kwao pesa sio ishu. Prestige kwanza.
 
Tunaongea tu, lakini ukitaka uenjoy gari kwenye nchi yetu bila Stress TOYOTA inafaa sana. Kwa gari ya Status yoyote bado kimbilio ni Toyota labda kama utanunua gari kwa ufahari. Sio kama ana gari za ovyo bali ni uimara na affordability hasa kwenye maintenance. Gari classic pia TOYOTA anazo ambazo ni class za watu wachache wanao weza zimudu.
 
Yeah hili ni ukiondoa ushabiki kabisa istioshe pia hata huko kwa wenzetu napo wengi wanageukia kwenye Lexus baada ya kutolewa kijasho na BMW's
 
Wewe unasema kuwa hutaki hio feature ila yupo anaeona bora uwepo wake na kuifanyia kazi. Hata Ukubwa wa engine unaweza pia ukasema wa nini wakati sio racing car HP 200 zingetosha tu, besides its a car whose sole purpose to create comfortability. Hata kwenye hio lexus ls. Sijaona mie hapa kwetu wenye BMW wakiwa wanazisukuma kufika uko 200km/hr. Na mfano mwengine wa hizo speedometer, mapank amesifia EUR models kuwa na speed 240, wakati kwa mazingira yetu hapa huzitumii. Gari ni usafiri, chochote ambacho kinasaidia katika usafiri ni useful in one way or the other.
 
Tunacho ongelea wide range of choice, Toyota mpaka racing car anazo lakini kwa mazingira yetu hatuziitaji. Toyota ana uwanja mpana wa kumpa mteja wake uchaguzi wa kile anachohitaji kuliko hizo BMW. Ndio maana ana Euro / Japan / American / African vesion ya Magari anayoyatoa. Njoo huku kwa BMW / AUD / Rolls Royce / Lamborghini kama wana uwanja mkubwa kama alionao TOYOTA?


 
Ikitokea TOYOTA wananiajili leo nitawaomba katika mkataba wasinibane katika ulazima wa kutumia gari ya kampuni, nadhani nitakuwa staff wa pekee nitakaye park BMW kwenye office za TYT. Na wakinibana katika mkataba basi nitaenda kugonga hodi BMW kwaajili ya ku volunteer
 
Actually sio mimi ila Logically tu naangalia.

Ukiachilia upenzi tu kila gari imetengenezwa kwa kuzingatia mazingira ya eneo husika. To Germans kuna miundombinu ya kutosha (Autobhan) kuinjoy flexin na Speeds mpaka 350km/h hence kuna gari kama Mercedes na BMW zenye hizo perfomance. Ila hapa kwetu huwezi fika hata 200km/h bila kukutana na tuta.
 
Buying for prestige, ukipita watu wageuze shingo. Ila ukirudi nyumbani unagugumia maumivu mwenyewe. Gari dashbord inasoma 350 km/h lakini tokea uinunue unaishia kwenye 180 km/h 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Hizo za zamani mkuu na hasa 7 series za 2002 ndio zilikuwa na usumbufu kupitiliza. Ila miaka ya siku izi, wapo vizuri kwenye engine hadi toyota ameamua kutumia Z3 na kuiita Supra japokuwa bado hajamfikia toyota kwa reliable engine. Unashauriwa kama unataka 7 series ununue kuanzia 2005 i think na kama unataka model za zamani ununue ile kabla haijafanyiwa facelift, nafikiri 1999. Kama kuna mtu analeta spea za BMW afu bei anaweka vizuri, nakuhakikishieni mtaachana na toyota/lexus πŸ˜€
 
Wakuu Uzi mtamu sana, ila kuna gari yangu pendwa LC 76 series cjaona alieigusia. I'm in love with this machine, mwenye uelewa nayo please anisaidie sifa zake. For now naenjoy barabara na forester
Mkuu tumepita nayo huko juu. haiwezekani iongelewe TOYOTA bila LC70.
 
Mkuu kwa sasa unaagiza ebay na autodoc. Spea mpya bei rahisi kuliko used hapa. Pia ukiwa na mtu SA unawapigia bmw au vw unaagiza mtu anaipakiza kwenye malori yanayokuja bongo unaipata in 5 days. Wiper motor imekufa bongo used laki tano. Ebay nimepat mpya from Germany kwa Β£45. Kuna mtu UK analeta mizigo kilo moja 15,000. Pia magari mazuri ukitaka yadumu inabidi usome manual na gugo sana bila hivyo hawa mafundi wetu wanakuwekea oil sae40 *****
 
Mkuu, linapokuja suala la BMW unazungumzia practicality based in Africa. Ila linapokuja suala la practicality kwa Ls500 huone kama nayo ina useless features kwa hapa kwetu TZ au Africa kwa ujumla? Usiwe bias.

Mimi nazungumzia gari kama gari, sizungumzii mazingira sijui afrika au dubai. Nazungumzia gari kama ilivyo.
 
mapank una derail kwenye mada.... unatoka nje. hatuzungumzi wide range of choices. tunachofanya ni ku compare between models husika, kutizama thamani yake, features, design yake na mambo kadhalika ila sio nani ana model nyingi. Rolls Royce ana model chache tu lakini huwezi kufananisha na toyota. toyota ana mpaka charahani. πŸ˜€

Halafu hio picha ulioieka, ni BMW Z series re badged by toyota as Supra. APo toyota amewachezea kama Pele fans wa supra πŸ˜€
 
Mkuu hiyo Toyota Supra ambayo wameshirikiana Toyota na BMW ni kubwa jinga, Toyota amelalamikiwa sana kukubali kutumia BMW engine na gari haina performance na hii ndio Supra isiyo na maajabu.

BMW wamesema watarudia kutengeneza tena Supra nyingine 2021. Supra hii BMW kaboresha body na interior features tu.
 
S Siko biased unless it comes to reliability.

Reverse camera tu ni very basic feature kwa gari za kuanzia 2005 na kuendelea ila matumizi yake ni hafifu sana hapa nchini. Ila it doesn't make it a bad thing as long as it works.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…