Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sawa kwa features mjerumani ana lead ila kwa ubovu pia ana lead. Toyota ana features chache zaidi ila they do work through years of ownership bila matatizo.Hili ndio jambo ninalolizungumzia sasa. Toyota anatengeza gari very basic uki compare na wenzake ambao wanaweka more effort.
Power windows are more likely to fail than hizo za kupandisha manual. When it comes to relaibility, hio manual mpaka utakufa wewe. Sasa hizo za umeme tone la maji tu likipenya mara motor imeunguwa. Lakini we both agree kama power windows are efficient na convenience.
Mimi simlaumu mtu wa TZ kuchagua toyota au lexus over BMW/MB. Nina rafiki yangu hapa zenji ana VW imekufa intake manifold sensor tu, kakosa unguja nzima.
Kuna uzi nafikiri wa mshana ule akihimiza watu wahamie kwa mjerumani, michango yangu yote utaona kuwa naponda reliability issues za haya magari na cost of maintainance, lakini when it comes to design, features and tech, Mjerumani aachwe kwanza.
Mjerumani gari zake hazidumu katika ubora wake esp. after warranty kuisha na matatizo yanaanza ndio maana hushauriwi kununua gari ya kijerumani iliomaliza 100,000km ila Toyota unaweza nunua yenye hata 115,000km za mileage ila ikawa ina perform flawlessly through years of ownership ikihitaji basic mainatance tu.