Kwangu mimi bora nitoe milioni mia, ninunue gari ambayo it has much more to offer than spending milioni 100 on a basic car, where as i could spend less and get a better one or just like it with basic features. Nikiweza kumiliki gari kama 7 series, basi siendi tena kwa mudi miembeni, nitatafuta reliable garage ambao wanakupa guarantee kabisa. Nikihitaji ku change oil nitaweka ile recommended regardless of the price. Sasa tatizo la wengi na hasa hapa bongo, mtu anapesa ya mawazo anaenda kutafuta Bimmer au MB au Audi. Kuna rafiki yangu hapa juzi gari yake VW imekufa sensor ya intake na throttle valve, hapa Unguja havijapatikana katumwa mtu dar kakaa kimya, mwenyewe kaamua kuagiza dubai.
Build Quality ya MB na Bimmer iko vizuri sana tena sana tena sanaa. Tizama speakers wanazotumia, tizama stitching ya leather, quality ya hio leather, the trims inside zilivo high quality, tizama seats zilivo super comfy mambo mengine kwenye kutengeza.
Hu mfano wa Altezza nimetaka uone kuwa utaspend hio same amount kununua the best trim of the basic. At the same time, wewe mwenye basic trim, when it comes to maintenance, you have more to fix than the basic one.