Ukosefu wa maadili unatisha kwa kasi unayoporomoka Tanzania

Umeeongea point tupu.shida iliyopo ni wazazi wenyewe imagine mtoto wa umri miezi6 anaachiwa house girl mama anarudi saa2-3 usiku kesho anaondoka sa12 asubuhi halafu mtoto akifikisha umri wa miaka 3-4 anapelekwa yule anaanza kulelewa huko Kwa kisingio Yuko shule kumbe umeshindwa kumlea wewe.
Umeshindwa kumlea mtoto wako ni nani atakae kulelea? Kulea mtoto ni wajibu wa mzazi hutaki kulea acha kuzaa
 
Utanda wazi ndiyo chanzo cha yote hayo,hakuna mchawi mwingine!!
 
Ni Simba aliyevaa ngozi ya kondoo jichanganye uone
Kondoo wewe simba wewe.

Tumekuelewa kwa kukusoma kati ya mistari. Unamaanisha waleeeee.

"Huku hayuko kule hayuko ankula huu".
 
Utandawazi ndio umeharibu kila kitu, especially ujio wa smartphones
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…