KERO Ukosefu wa Maji Kata ya Sombetini, Wilaya ya Arusha Mjini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku.

Tunaomba mamlaka husika watupe taarifa sahihi nini kinaendelea au hatua gani zinafanyika ili huduma Irénée kama kawaida.
 
Aweso na Gerson Msigwa wanasema maji yanapatikana Tanzania kwa 90% acha taharuki
 
Back
Top Bottom