Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

Ikiwa una wasiwasi na utendaji wa mhimili unaosemekana upo huru (Uhuru wa bandia),wakati huo huo ukiutegemea ukupe haki, huoni ni hatari?...
Ndio maana mhimili wa mahakama kwenye utoaji haki, "justice must not only be done, but must be seen to be done", yaani haki sio tuu inatakiwa kutendeka, bali inatakiwa kuonekana imetendeka.
P
 
Mahakimu na Majaji wanauwezo mkubwa sana kutoa haki lakini wanaendeshwa na watawala! Magufuli aliwatumia vibaya sana kupotosha haki na hii ilisababishwa na njaa zao na kutaka kupandishwa vyeo.

Jaji Mkuu ndiyo alikuwa chawa kabisa wa Magufuli akasahau wajibu na nafasi yake katika jamii!
Pamoja na incompetence zozote za majaji wetu, hawa ni waheshimiwa, naomba sana tuwaheshimu, huwezi kumuita CJ ni chawa!, please!.
P
 
Pamoja na incompetence zozote za majaji wetu, hawa ni waheshimiwa, naomba sana tuwaheshimu, huwezi kumuita CJ ni chawa!, please!.
P
Kwako ww pamoja na bandiko hili, je kwa maamuzi ya mahakama na Jaji Tingana haki imetendeka kwa siku ya jana?? Kwako wewe ili haki itendeke unaangalia nini??
 
Kwako ww pamoja na bandiko hili, je kwa maamuzi ya mahakama na Jaji Tingana haki imetendeka kwa siku ya jana?? Kwako wewe ili haki itendeke unaangalia nini??
Hiki unachouliza ndicho nilichokisema kwenye bandiko hili.
Jee umesoma hizo makala 2?.
Nimesisitiza, ili mahakama kutenda haki, sio kwa mahakama kutenda tuu haki, bali haki hiyo pia lazima ionekane imetendeka!.

P
 
Ukweli tunaujua wote ila kwa sababu wewe ni CHAWA unajifanya hamnazo😁😁😁
16451849476054.jpg
 
Kuna wakili kakiwasha huko twitter, sasa anashambuliwa kama mchwa na mawakili.

View attachment 2124587
Mkuu sajo , alichosema huyo wakili ni ukweli mtupu!. Tungekuwa na wakili wa calibre ya Murtaza Lakha, kesi ya Mbowe zamani serikali ingeisha salimu amri kwa DPP kuleta Nolle kuinusuru, ingevuliwa nguo na kuachwa utupu, the only way out ni kuchutama... lakini kwa kiwango cha Murtaza Lakha, hao mawakili ni kama hakuna kitu...

Nimeshangaa sana mawakili walivyomkomalia huyu wakili mwenzao kuwa anadhalilisha profeshno yao, yaani badala ya kujitazama kuhusu weledi wao wa kazi, wao wamekuja juu kujilinda na kumtaka awaombe radhi, madai ni kuwa ujumbe huu umefika mpaka nje ya nchi na unatarnish image yao ya uwakili.

Ukweli unajulikana, mahakama zimejaa rushwa, hotuba za viongozi wa nchi kila siku zinazungumza hilo. Kuna baadhi ya majaji hukumu zao mtu unazisoma kama vichekesho/burudani jinsi zilivyokwenda nje kabisa ya sheria. Mawakili wanasoma mafaili asubuhi siku ya kesi, wanakuwaje competent kweli hapo mahakamani?? Jaji Kihwelo akiwa Iringa mawakili walikuwa wanatafutana kuappear mbele yake, kuwa lazima ujiandae kwelikweli ama sivyo unaenda kuaibika. Lakha ndio alikua wakili kesi ya uhaini? pascal
 
Majaji walikuwa wa awamu ya kwanza kizazi ambacho kimeondoka. Baada ya kuacha kuteua majaji kwa misingi iliyowekwa tukaanza urafiki kubalance gender ndipo matatizo yakaanza kujitokeza. Tundu lissu alipopinga uteuzi wa majaji walioteuliwa na rais wa awamu ya nne tena kwa vigezo hakuna mwanasheria wala tls waliomuunga mkono.Ilikuwa kama vita yake binafsi na serikali.
 
TLS kazi yake ni kuchukua hatua kwa mawakili baada ya serikali au mahakama kuamuru hivyo. Yaani TLS hawataki hata kumtetea wakili waliyeagizwa kumchukulia hatua wao wapo tu kutekeleza maagizo ya serikali
 
Lakha ndio alikua wakili kesi ya uhaini? pascal
Yes alikuwa wakili wa mshtakiwa 1, 2 na 3. Mimi nilimfahamu kwenye Kesi ya Mauaji Mwanza, ya mwaka 1976. Late Mzee wangu, Andrew Mayalla alikuwa RSO wa Mwanza, alitetewa na Murtaza Lakha na ndie mshtakiwa pekee aliyechomoka. The fellow was dam good!.
P
 
Mkuu sajo , alichosema huyo wakili ni ukweli mtupu!. Tungekuwa na wakili wa calibre ya Murtaza Lakha, kesi ya Mbowe zamani serikali ingeisha salimu amri kwa DPP kuleta Nolle kuinusuru, ingevuliwa nguo na kuachwa utupu, the only way out ni kuchutama... lakini kwa kiwango cha Murtaza Lakha, hao mawakili ni kama hakuna kitu...
P

..Lakha angeuwawa.

..au ofisi zake zingelipuliwa na bomu.

..kesi inapohusu wapinzani majaji hawafuati sheria hivyo hata angekuwepo Murtaza Lakha isingesaidia kitu.
 
Mkuu sajo , alichosema huyo wakili ni ukweli mtupu!. Tungekuwa na wakili wa calibre ya Murtaza Lakha, kesi ya Mbowe zamani serikali ingeisha salimu amri kwa DPP kuleta Nolle kuinusuru, ingevuliwa nguo na kuachwa utupu, the only way out ni kuchutama... lakini kwa kiwango cha Murtaza Lakha, hao mawakili ni kama hakuna kitu...
P
Ina maana mawakili wa utetezi wamechemsha?
 
Yes alikuwa wakili wa mshtakiwa 1, 2 na 3. Mimi nilimfahamu kwenye Kesi ya Mauaji Mwanza, ya mwaka 1976. Late Mzee wangu, Andrew Mayalla alikuwa RSO wa Mwanza, alitetewa na Murtaza Lakha na ndie mshtakiwa pekee aliyechomoka. The fellow dam good!.
P
Aisee, jamaa alikuwa mtaalamu haswa wa Cross Examination. Anachambua vyema ushahidi uliotolewa na shahidi wa mashtaka akija kumbananisha kwenye cross-examination shahidi anaishia kupata hasira kama yule RC😄

Mawakili kwa kweli inabidi wajinoe sana, wanapokwenda mahakamani uwezo wao uwabebe.
 
Back
Top Bottom