MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 940
- 1,573
GavaIna maana mawakili wa utetezi wamechemsha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GavaIna maana mawakili wa utetezi wamechemsha?
Jaji kuonyesha uwezo ni mpaka apewe maagizo,Hili ni bandiko la swali, jibu lake ni leo pale, mahakama ya uhujumu, jee Jaji ataonyesha uwezo?.
Let's wait and see.
P
Wapo majaji wenye weredi sana tu.Tatizo ni wanasiasa wameingilia sana mfumo wa kimahakama kiasi cha majaji kubabaika kwenye maamuzi yao na wananchi kuanza kujiuliza juu ya uwezo wao.Hiki unachouliza ndicho nilichokisema kwenye bandiko hili.
Jee umesoma hizo makala 2?.
Nimesisitiza, ili mahakama kutenda haki, sio kwa mahakama kutenda tuu haki, bali haki hiyo pia lazima ionekane imetendeka!.
P
Upashanaji habari umesaidia sana kuonyesha udhaifu wa baadhi ya majaji wetu, na mawakili wa utetezi kwenye cross examination, mfano kwenye kipengele cha The admisibility of evidence, inajulikana wazi admission uliyopatikana kwa torture is not admissible, kwenye zile trial within trial, kuna ushahidi usiotia shaka, makomandoo walikuwa tortured and yet Statements zao zikawa admited!, hata a layman anajiuliza what sort of judges do we have?!.Wapo majaji wenye weredi sana tu.Tatizo ni wanasiasa wameingilia sana mfumo wa kimahakama kiasi cha majaji kubabaika kwenye maamuzi yao na wananchi kuanza kujiuliza juu ya uwezo wao.
Ndugu yangu Mayalla wanasiasa ndio mabosi wetu kwahiyo majaji wamefungwa mikono.kama hiyo kesi unavyosema iko dhahiri kabisa kuwa kuna uonevu fulan.kwa mfano urio anasema aliwapeleka wale makomando kama undercover hivi Bro kwa uzoefu wako ndio undercover anapelekwa vile kweli.ebu niambie Paschal Mayalla.Upashanaji habari umesaidia sana kuonyesha udhaifu wa majaji wetu, mfano kwenye kipengele cha The admisibility of evidence, inajulikana wazi admission uliyopatikana kwa torture is not admissible, kwenye zile trial within trial, kuna ushahidi usiotia shaka, makomandoo walikuwa tortured and yet Statements zao zikawa admited!, hata a layman anajiuliza what sort of judges do we have?!.
P
Ina maana jopo la majaji waliofikia huu uamuzi, hawafahamu hili?Upashanaji habari umesaidia sana kuonyesha udhaifu wa majaji wetu, mfano kwenye kipengele cha The admisibility of evidence, inajulikana wazi admission uliyopatikana kwa torture is not admissible, kwenye zile trial within trial, kuna ushahidi usiotia shaka, makomandoo walikuwa tortured and yet Statements zao zikawa admited!, hata a layman anajiuliza what sort of judges do we have?!.
P
The judges are human beings hivyo wanaweza kukosea kama binaadamu mwingine yoyote na ni mara kibao, majaji kibao errs in law, mahakama ya rufaa inakuja kutengua uamuzi wao, kwa mfano hiyo ya statements obtained by torture, ni jukumu la mawakili wa utetezi kumwaga nondo za precedent with authorities hadi kumfunga jaji mikono asipokee huo ushahidi. Kwa vile guilty verdict inapatikana kwa ushahidi beyond reasonable doubt, kwenye ushahidi wa upande wa mashitaka, umeonyesha just too many reasonable doubts to warrant no case to answer, lakini matundu yote hayo trial judge hajayaona. Waliosema "justice must not only be done, but must be seen to be done" wana maana yao!.Ina maana jopo la majaji waliofikia huu uamuzi, hawafahamu hili?
I don't think so.
P
Nataka wote tuangalie kwa makini macho na haiba ya huyu mtu! Joachim Tiganga alikuwa anawashauri mahakimu wawe fair kwenye kutoa haki! Hebu naomba maoni yenu hapa!
Alaaniwe alaaniwe alaaniwe mtu huyu!!
The judges are human beings hivyo wanaweza kukosea kama binaadamu mwingine yoyote na ni mara kibao, majaji kibao errs in law, mahakama ya rufaa inakuja kutengua uamuzi wao, kwa mfano hiyo ya statements obtained by torture, ni jukumu la mawakili wa utetezi kumwaga nondo za precedent with authorities hadi kumfunga jaji mikono asipokee huo ushahidi. Kwa vile guilty verdict inapatikana kwa ushahidi beyond reasonable doubt, kwenye ushahidi wa upande wa mashitaka, umeonyesha just too many reasonable doubts to warrant no case to answer, lakini matundu yote hayo trial judge hajayaona. Waliosema "justice must not only be done, but must be seen to be done" wana maana yao!.
P
Kufuatia hukumu ya Kina Halima Mdee na kundi lake, kwenye badiko hili I was right!.View attachment 1841771
Kwa bahati mzuri, mimi nimebahatika kuwa mwanafunzi wa Prof. Ibrahim Juma, hivyo namfahamu vizuri kwa kauli, uwezo na matendo, jicho hilo la rohoni analo, na kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Mahakama ndio mhimili rasmi wa utoaji haki Tanzania, hivyo nina imani kubwa na Mhimili wa Mahakama chini ya Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, licha ya changamoto za utoaji haki, inauwezo wa kuwapatia haki Watanzania.
Paskali
Wanabodi,Wanabodi.
Sasa kwenye hili la Halima Mdee, Chadema, imejikwaa tena pale pale ilipojikwa kwenye issue ya kumtumua Zitto, safari hii Chadema bado haijaanguka na bakora za karma bado hazijaanza kutembea.
Kwa vile Zitto alikimbilia mahakamani akashindwa, Chadema wakashangilia ushindi huo, nashukuru mimi niliwaeleza humu kuwaelimisha kuhusu karma, na nikawaambia the consequences ya matendo, hivyo kwenye hili la Halima Mdee, nae amekimbilia mahakamani, ikitokea na Halima akashindwa kama alivyoshindwa Zitto, hivyo Chadema wakafanikiwa kuwatimua rasmi hao wanaowaita Covid 19, naomba mimi niwe mtu wa kwanza kuwaambia the consequences will be very devastating, kwenye karma ya Zitto, angalau someone survived miraculously, I'm not sure kwenye hili, if anyone will!. Kwa kuchelea this, nimejitolea kuishauri Chadema the right thing to do na kuepuka adhabu ya karma.
Paskali.
Kina Mdee wameshindwa kesi kwa legal technicalities and not points of law. Chadema haikuwatendea haki, mahakama haijawatendea haki, Spika ndie pekee amewatendea haki ila baada ya hukumu ya jana Spika anafungwa mikono, Kina Halima Mdee na kundi lake wanatimuliwa rasmi na sasa hapa ndipo karma unaingia kazini.Kufuatia hukumu ya Kina Halima Mdee na kundi lake, kwenye badiko hili I was right!.
Wanabodi,
Baadhi ya mabandiko yangu sio mabandiko ya average mind ni mabandiko ya deep thinkers, moja ya mabandiko hayo ni Bandiko hili Ushauri wa Bure: Ukijikwaa ukaanguka, usiangalie tu pale ulipoangukia, bali angalia pale ulipojikwaa
Maadam Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya kina Mdee, hiki nilicho andika kwenye bandiko hili, sasa ndio kinakwenda kutokea!. It will be very devastating and disturbing!.
Wale ambao sio average mind, wana uwezo to connect the dots, baada ya Chadema kumtimua Zitto kwa dhulma, there are bad things that happed to Chadema na wahusika wa kadhia ya Zitto, but no one connected the dots and linked the consequences, hivyo sasa baada ya Chadema kuwatimua hawa Wabunge 19, naombeni sasa watch closely what will happen to Chadema and the main players and connect the dots.
God forbids!.
P.
Legal technicalities hazikubaliki tena? Kaka kwanini usiiachie hiyo chuki kwa chadema ili uwe huru? Kwanini uteseke? Kwahiyo hiyo karma yako itampata nani, jaji wa mahakama kuu au chadema? Unaamini pia kifo cha aliyekuita mwenye njaa ni karma?Kina Mdee wameshindwa kesi kwa legal technicalities and not points of law. Chadema haikuwatendea haki, mahakama haijawatendea haki, Spika ndie pekee amewatendea haki ila baada ya hukumu ya jana Spika anafungwa mikono, Kina Halima Mdee na kundi lake wanatimuliwa rasmi na sasa hapa ndipo karma unaingia kazini.
Naendelea kusisitiza Kina Halima Mdee na kundi lake watendewe haki, karma is real!.
P
Lengo la simulizi hii ni kuwadurusu baadhi ya majaji na mahakimu wetu, jee wana uwezo wa kubaini hatia kwa kutumia jicho la ndani?, jee kwenye utoaji wa humuku zao, wanazingatia "utu na nafsi"?, na sio kutegemea tuu vifungu vya sheria na ushahidi pekee?. Ili jinai itendeke ni lazima kuwepo kwa mambo mawili, actus reus (kitendo cha jinai) na mens rea, (nia ya kutenda jinai). Jee mfumo wetu wa kupata majaji na mahakimu wetu, unahusisha amplitude test kubaini uwezo wa hao majaji na mahakimu kutumia jicho la ndani la utu na nafsi kubaini nia ovu ya kutenda jinai?. Jibu ni hapana!.
Paskali
Karibu Mitaa hii, uone nilivyowazungumzia majaji wetu.Nimecheka hapo uliposema kuwa kuna binti mlimpokea TBC na sasa ni jaji, hivyo na ww unaweza kuwa jaji. Ni kweli unaweza kuwa jaji, maana vigezo vya kuteua majaji hapa Tanzania sio lazima uwezo, bali vigezo vikuu ni utashi na malengo ya mteuaji. Kwa mahakama hizi zisizo huru, yoyote anaweza kuwa jaji ili mradi anakidhi vigezo vya mteuaji. Ingekuwa unahitaji ujaji hapo Kenya wangalau wao wanajitahidi kutunza viwango ningeona unajivunia uwezo.
Mkuu Getang'wan, unaamini naichukia Chadema?.Legal technicalities hazikubaliki tena? Kaka kwanini usiiachie hiyo chuki kwa chadema ili uwe huru?
Karma inampata mhusika tuu wa uovu na sio mtekelezaji wa wajibu wake.Kwanini uteseke? Kwahiyo hiyo karma yako itampata nani, jaji wa mahakama kuu au chadema?
Hili Sio Swali!, hilo ni jibu!, usiulize majibu, Uliza maswali.Unaamini pia kifo cha aliye... ni karma?
Uwezo mdogo???? au NI UHUNIView attachment 1841771View attachment 1841772
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila siku za Jumatatu, huwaletea makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambayo huchapishwa na gazeti la Nipashe la Jumapili, ambazo ziko kwa mtindo wa maswali, majibu ya maswali hayo, utayapata wewe mwenyewe, na kisha tutawatafuta wahusika, ku balance hii mada, hivyo kwa mada hizi za mhimili wa Mahakama, mtu wa kubalance tuhuma hizi ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma.
Baada ya makala kuhusu Ofisi ya DPP, wiki hii, naugeukia Mhimili wa Mahakama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha Majaji wapya 28 wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema na hapa ninanukuu
“Tatizo la ucheleweshwaji wa kesi katika Mahakama zetu bado lipo, kama mnavyosema Wanasheria haki inayocheleweshwa ndio haki inayokataliwa, hivyo ni imani yangu kuwa baada ya upatikanaji wa Majaji hawa ucheleweshaji wa kesi Mahakamani utapungua na hatimaye haki kupatikana kwa wakati,” alisema Mhe. Rais Samia.
Rais Samia akaendelea kwa kuitaja Ibara ya (107) A ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mamlaka ya utoaji haki ni Mahakama, “hivyo jukumu lililopo mbele yenu ni kubwa sana, basi ni vyema mkatekeleze majukumu yenu mliyopewa kwa uaminifu, mkaongoze vyema na mkaongozwe na utu na nafsi zenu katika kuwatumikia wananchi,” Mwisho wa kunukuu.
Kwa upande wake, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma alimshukuru Mhe. Rais kwa uteuzi wa Majaji hao wapya huku akiwa na imani kuwa idadi hiyo italeta mabadiliko makubwa ambayo yataonekana mara moja.
Jaji Mkuu, Prof. Juma alisema “Mhe. Rais napenda nichukue fursa hii kukushukuru kwa kutupatia Majaji hawa, idadi hii itasaidia kupunguza mzigo wa mashauri kwa Majaji waliopo na hivyo kusaidia kuleta mabadiliko ambayo yataonekana mara moja,” alisema Mhe. Jaji Mkuu.
Prof. Juma, aliendelea “Mhe. Rais idadi ya Majaji inapanda na kupungua kulingana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kustaafu kwa Majaji pamoja na Majaji wengine kupangiwa majukumu mbalimbali, hivyo bado tunaomba kuendelea kupatiwa Majaji kadri nafasi zinapopatikana ili kuendelea kutoa huduma ya haki kwa kuwa wananchi wengi kwa sasa wanafahamu haki zao na hivyo kufungua kesi kwa wingi,” alieleza Jaji Mkuu.
Kwa vile hoja yangu ya makala hii ni kuangazia uwezo mdogo wa baadhi ya Majaji na Mahakimu wetu, kutokuwa na jicho la ndani, lenye uwezo wa kuona haki, kunakochangia ucheleweshaji wa kesi na ukosefu wa haki, naomba kutoa historia fupi ya maisha yangu na jicho la ndani.
Mimi Paskali Mayalla, zaidi ya kuwa mwandishi wa habari na mtangazaji, mimi pia mtu wa mastori, yaani stori teller, hivyo kwa wapenzi wa mastori, unaweza kufuatilia sehemu hii ya Mastori ya Pasco Mayalla, ila wewe kama sio mtu anayependa mastori, unaweza ku skip hii segment ya mastori
Mastori ya Pasco Mayalla
Lengo la simulizi hii ni kuwadurusu baadhi ya majaji na mahakimu wetu, jee wana uwezo wa kubaini hatia kwa kutumia jicho la ndani?, jee kwenye utoaji wa humuku zao, wanazingatia "utu na nafsi"?, na sio kutegemea tuu vifungu vya sheria na ushahidi pekee?. Ili jinai itendeke ni lazima kuwepo kwa mambo mawili, actus reus (kitendo cha jinai) na mens rea, (nia ya kutenda jinai). Jee mfumo wetu wa kupata majaji na mahakimu wetu, unahusisha amplitude test kubaini uwezo wa hao majaji na mahakimu kutumia jicho la ndani la utu na nafsi kubaini nia ovu ya kutenda jinai?. Jibu ni hapana!.
Tanzania ili mtu kuwa hakimu, ni kwanza kuhitimu shahada ya sheria, na kuomba ajira ya uhakimu, kwenye kuajiriwa, kupitia Tume ya Kuajiri ya Mahakama iliyo chini ya Jaji Mkuu, ila kwenye hadidu za rejea, hakuna amplitude testi yoyote kupima uwezo wa waombaji kuwa na jicho la ndani la kubaini jinai, na matokeo yake ndio baadhi ya hawa mahakimu kwenye mahakama zetu wenye uwezo mdogo, na matokeo yake ni kwa baadhi yao, kutokuwa na uwezo wa kutoa hukumu za haki huku wengine wakituhumiwa kula rushwa!. Udhibitisho wa tuhuma hii ya uwezo mdogo wa mahakimu wetu kutoa hukumu za haki ni mlolongo wa rufaa, na matokeo ya rufaa nyingi kukubaliwa.
Ili kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani ni Tanzania, ni kwanza kuwa mwanasheria, kisha jina lako likapendekezwa na Tume ya ajira ya Mahakama, na kupelekwa kwa rais, mtu unateuliwa kuwa jaji, napendekeza, ili Tanzania tupate majaji kama Lord Denning, tuongeze vigezo vya mtu kuteuliwa Jaji. Kila mtu anaweza kuwa mwanasheria, lakini sio kila mwanasheria anaweza kuwa Jaji. Mfano mzuri ni mtu aliyekuwa DPP kinara wa ukandamizaji wa haki, halafu mtu huyo anateuliwa kuwa Jaji, unategemea nini?!. Kama akiwa DPP alifanya madudu yote yale ambayo sasa ndio yanafumuliwa, akiwa Jaji, atatenda haki?. Unless kama wakati akiwa DPP, baadhi ya maamuzi yake ilikuwa ni kufuata maelekezo, then sasa akiwa Jaji, atakuwa Jaji mzuri, lakini kama akiwa DPP alishindwa kutenda haki, haitegemewi akiwa Jaji atatendaje haki!.
Nchi za wenzetu hadi wana vifaa maalum vya kubaini kama mhusika anasema uongo, (lie detectors), Majaji wetu na Mahakimu lazima wawe na uwezo huo, ili kuepuka kuwatesa watu kwa kuwasweka ndani miaka mingi watu wasio na hatia. Yako mazingira mtu anakutwa na ushahidi wa kuhusika na jinai fulani, na wengine hadi kuhukumiwa kunyongwa, na akiisha nyongwa ndipo ushahidi unakuja kupatikana kuwa amehukumiwa kwa makosa. Majaji na Mahakimu wetu, wakiwa na jicho la rohoni, wataweza kuiona haki na kutoa hukumu ya haki hata kama ushahidi utaonyesha kuhusika.
Kwa maoni yangu, tatizo la msongamano wa kesi, sio idadi ya majaji na mahakimu, bali ni ubovu wa sheria zetu na uwezo mdogo wa baadhi ya majaji na mahakimu kukosa jicho la roho kubaini hatia, na udhaifu wa vyombo vyetu vya upelelezi. Mfano kwa tukio kama lile shambulio la Lissu, hata sisi tuu waandishi wa habari za uchunguzi, tungehitaji IJ ya siku moja tuu, kubaini chanzo cha wasiojulikana hao, na kukitumia kama lead kuwabaini, lakini kwa vyombo vyetu vya uchunguzi ni mpaka leo hakuna taarifa zozote!.
Kwa kesi kama ya kina Rugemalila, sisi waandishi wa habari za uchunguzi, tungehitaji siku 7 tuu, kuwawekea ushahidi wote mezani, lakini vyombo vyetu vya uchunguzi, ni zaidi ya miaka 4 sasa na bado kesi haijaanza kusikilizwa!, kwenye mazingira kama hayo, hata tungekuwa na majaji 100, wangefanya nini?.
Kwa bahati mzuri, mimi nimebahatika kuwa mwanafunzi wa Prof. Ibrahim Juma, hivyo namfahamu vizuri kwa kauli, uwezo na matendo, jicho hilo la rohoni analo, na kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Mahakama ndio mhimili rasmi wa utoaji haki Tanzania, hivyo nina imani kubwa na Mhimili wa Mahakama chini ya Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, licha ya changamoto za utoaji haki, inauwezo wa kuwapatia haki Watanzania.
Kufuatia mhimili wa mahakama kushiriki Maonyesho ya Saba Saba, makala ya wiki ijayo, nitawaletea ushiriki wa Mahakama kwenye Saba Saba.
Paskali
Mwaka jana tarehe 07.12.2021, Jaji Mlyambina alikataa kupokea kielelezo cha kielektroniki mahakamani kwa kudai kuwa kiapo cha authenticity kimeongelea HEARSAY evidence (ushahidi wa kuambiwa), ilikuwa ni video inayoonesha askari polisi watatu wakinikamata isivyo halali. Kifungu kinachoongelea admissibility of electronic vidence hakizuii ushahidi kupokelewa kwa kuwa tu ni hearsay, hilo la hearsay linapaswa kuangaliwa wakati wa kupima uzito wa kielelezo na sio wakati wa kukipokea.mfano kwenye kipengele cha The admisibility of evidence
Kwenye trial, nimeeleza kuwa uharibifu ulifanywa kwa kuvunja funguo ya gari langu, Askari polisi aliyeharibu wakati akitoa ushahidi amesema kuwa alivunja funguo ya gari wakati ananikamata ila akaitengeneza, Kwenye hukumu Jaji anasema ninatakiwa kuprove uharibifu uliofanyika na uthibitisho wa risiti ya kununulia funguo.hata a layman anajiuliza what sort of judges do we have?!.
Jukumu la mahakama sio kumfunga mtu asiye na hatia bali ni kuhakikisha kuwa wanaofungwa na kuadhibiwa ni wale tu wanaokutwa na hatia. S (an infant) vs Manchester City Recorder & Others (1969) Vol III All ER 1230hiyo ya statements obtained by torture, ni jukumu la mawakili wa utetezi kumwaga nondo za precedent with authorities hadi kumfunga jaji mikono asipokee huo ushahidi.
Haya maandiko yako mareefu unatuchodha tu bila sababu. Acha unafiki- FULL STOP!View attachment 1841771View attachment 1841772