Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

Hebu wajaribu kuruka mpk Tehran tuone watakavyoshushwa km USA na drone lake la ghrama kubwa ilipgwa kombora moja .
 
Na wana external tanks wametengeza ndio maana range yake kubwa. Lazima wapate corridor kutoka nchi moja ya Kiarabu wapite ndio waingie Iran kwa kutumia F-35, kama walivyofanya mission ya Iraq kwenye Osirak nuclear site miaka ya 1970 sijui 80
Iran level nyingine usiifananishe na Iraq Wala Libya au Israel na bwanake USA wanajua ndio maana Iran kathubutu kupga camp za USA na hakuna walichomfanya
 
US aliishia kupiga kelele na hawakufanya kitu. Uyo dogo Israel level zake ni palestina tu, mziki wa Irana hauwezi atulie tu.
 
Tanzania Ukishashiba kande ukaingia kwenye net na kupitia sites mbili tatu tayari unajiona mtaalamu wa makombora aliyefuzu….kazi kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini huko Ukraine hizo Drones za Bayraktars zimeishia kuchomwa na Laser weapons.
 
Unakaribia kuvua nguo wewe!

Sio kwa kuchanganyikiwa huko [emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56][emoji56][emoji12][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Nivue nguo kwa habar za uongo...we kenge nini?....unaandika andika uongo na kenge wenzio ambao maamuma wanakupongeza[emoji848]
 
Hii ya iron dome kuwa ya makombora ya wapalestina mnaisema leo ,siku zote mlikuwa mnaisifu hakuna kitachokatiza, Leo aibu imewapata.
Wapi ilisemwa iron dome ya kuzuia ballistic?
 
Waeleze mkuu.... 70% ya hili jukwaa wamejaa vilaza
 
Hii dunia Ina maajabu sana!!! Anga la Syria lipo chini ya Urusi katika Air Defense, Muisrael akitaka kufanyia operation za anga Syria lazima aende Moscow akapige magoti aombe ridhaa ya kufanya mashambulizi maeneo mbalimbali...
RUSSIA SIYO MALAWI
 
Hii dunia Ina maajabu sana!!! Anga la Syria lipo chini ya Urusi katika Air Defense, Muisrael akitaka kufanyia operation za anga Syria lazima aende Moscow akapige magoti aombe ridhaa ya kufanya mashambulizi maeneo mbalimbali...
RUSSIA SIYO MALAWI
Russia na Israel waliamua kukubaliana kuhusu anga la Syria kuepuka friendly fire na incident za kushambuliana. Kama sio hivyo silaha za Urusi zingeaibishwa sana na Israel pale Syria. Ilianza Pantsir ikapigwa, Russia ikadai crew waliwasha simu system ikiwa on ndio maana. Ikaja hili tukio la Israel kusababisha ndege ya wataalamu 25 wa Russia kudunguliwa na Syria. Israel alichosaidia ni kueleza 'kusikitishwa' na tukio hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…