Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
- #41
Unakaribia kuvua nguo wewe!Acha kupotosha watu wewe kwa ushabiki wako wa kijinga....iron dome sio kwa ajili ya maroketi makubwa makubwa kama yanayotumiwa Ukraine....iron dome ni kwa ajiri ya maroketi madogo Tena % kubwa ni home made na wapalestina....ndio maana kwenye mistari ulichora kwa rangi ya blue Kuna sehemu wamesema nimeweka kwa rangi nyekundu.....soma hapo....
Alafu nipe chanzo chako Cha habar kama Kuna sehemu Israel wamesema kuwa iron dome inaweza kutungua makombora makubwa au ballistic missile?
Nb:
Punguza mahaba
View attachment 2286962
Sio kwa kuchanganyikiwa huko 🤣🤣😇😇😇😜😜🤪🤪🤪