Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika.

Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko:

IMG_20220409_191224_093.jpg

Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita?

Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha zinazopelekwa huko?

Dhahiri hii ni NATO ana kwa ana na Urusi ndani Ukraine. Ni wazi kuwa Ukraine peke yake hana ubavu huu.

Kazi kwao akina nyasi tokea Ukraine hadi makwetu Buza kwa Mtogole.
 
nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea
 
Kwa hiyo kajiondoa na vita imekwisha? 😂😂
Kwa maneno yake Putin alisema "HAWATASIMAMISHA MASHAMBULIZI MPAKA PALE MALENGO YAO YATAKAPOTIMIA".....

El Comandante Putin ni mjanja sanam, tunakumbuka alivyouhadaa ULIMWENGU kwa kuviondoa VIKOSI 150,000 alivyoviweka mwezi mzima mipakani na kuvirudisha nchini kwake halafu akavirudisha IN FULL FORCE na kuanza mashambulizi kule DONBASS ,KYIV , MARIUPOL ,ODESSA na kwengineko.

HAKIKA PUTIN NI MASTER 🤣
 
nato yakupuuzwa tu... wanajifanya wako bize kumtembelea huyo msanii kipindi hiki Russia ameishabomoa nchi yote na kusepa halafu wao ndo eti wanajifanya wanakuja kuwatia moyo wa Ukraine.. mi nitaona wa maana wakiweza kukaa msitari wa mbele kuikomboa donbass na krimea

Ya kupuuzwa kutokea kwetu Buza mkuu?

Kwani Putin mwenyewe kabakiza kilomita ngapi kuingia down town Kiev?
 
Sasa naamini Russia ni super power.anatoa masharti ,na yanatimizwa na NATO wote ,pamoja na USA. jamaa anarudi nyuma kwenye Yale majimbo yake ,ambayo pia alitoa shart yatambuliwe,na masharti yote yametimizwa .halafu mwamba anasepa kunywa ghahawa huku akitikisa mguu!!
😍😍🤣🤣
MWAMBA KAMA MWAMBAAAA....

IMG-20220224-WA0016.jpg
 
Kwa maneno yake Putin alisema "HAWATASIMAMISHA MASHAMBULIZI MPAKA PALE MALENGO YAO YATAKAPOTIMIA".....

El Comandante Putin ni mjanja sana....tunakumbuka alivyouhadaa ULIMWENGU kwa kuviondoa VIKOSI 150,000 alivyoviweka mwezi mzima mipakani na kuvirudisha nchini kwake halafu akavirudisha IN FULL FORCE na kuanza mashambulizi kule DONBASS ,KYIV , MARIUPOL ,ODESSA na kwengineko.......

HAKIKA PUTIN NI MASTER [emoji1787]
Malengo yapi yaliyotimia?View attachment 2181972
Screenshot_20220408-083828.jpg
 
Kwa maneno yake Putin alisema "HAWATASIMAMISHA MASHAMBULIZI MPAKA PALE MALENGO YAO YATAKAPOTIMIA".....

El Comandante Putin ni mjanja sana....tunakumbuka alivyouhadaa ULIMWENGU kwa kuviondoa VIKOSI 150,000 alivyoviweka mwezi mzima mipakani na kuvirudisha nchini kwake halafu akavirudisha IN FULL FORCE na kuanza mashambulizi kule DONBASS ,KYIV , MARIUPOL ,ODESSA na kwengineko.......

HAKIKA PUTIN NI MASTER [emoji1787]
Wakati wewe unadhani ni Putin ni mjanja, taarifa zilikuwa zimetolewa muda mrefu kuwa alikuwa anasubiri Olympics ziishe huko China ndio ashambulie. Hivi ule msafara wa km 64 uliishia wapi?
 
Sasa naamini Russia ni super power.anatoa masharti ,na yanatimizwa na NATO wote ,pamoja na USA. jamaa anarudi nyuma kwenye Yale majimbo yake ,ambayo pia alitoa shart yatambuliwe,na masharti yote yametimizwa .halafu mwamba anasepa kunywa ghahawa huku akitikisa mguu!!
Vita imehamia huko.
 
Back
Top Bottom