Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika.
Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko:
Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita?
Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha zinazopelekwa huko?
Dhahiri hii ni NATO ana kwa ana na Urusi ndani Ukraine. Ni wazi kuwa Ukraine peke yake hana ubavu huu.
Kazi kwao akina nyasi tokea Ukraine hadi makwetu Buza kwa Mtogole.