Ukraine: Mataifa ya magharibi yanatuangalia kwa mbali, njooni mtusaidie

Ukraine: Mataifa ya magharibi yanatuangalia kwa mbali, njooni mtusaidie

Yaani tusababishe vita ya dunia kisa Ukraine ?Never. Ukraine wapambane tu kwenye uwanja wa vita. Sisi western tunamwekea vikwazo vya uchumi Urusi.
Ukuraini ni jinga kabisa lini US ijitoe kusaidia nchi nyingine bila masilahi yake kwanza US hawezi kuingia kwenye vita ambayo Russia imo nayeye anaogopa uchumi wake kuanguka, katika hiyo vita aina mshindi walimpa kibri kafikiri watamsaidia masikini kaingia cha kike.
 
Anae jua kazi ya UN please [emoji81][emoji81]au ndo pambo kama the league of nations
UN mbona hawana jipya kila siku Israel anaichapa gaza na kupanua makazi wanakemea kama mbwa jioga. Huku marekani akiunga mkono kuwa ni haki ya Israel kujilinda. Sasa na kwahili ni Haki ya Russia kujilinda watulize makalio mbwa hao.
 
Putin kasema atakae amlia marinda halali yake naona majogoo ya ulaya na marekani kimyaaa
😂😂😂😂😂😂😂 hahahah wameusikia ujumbe wa mwanaume! Atakaeshoboka wazungu ndani
 
Ukuraini ni jinga kabisa lini US ijitoe kusaidia nchi nyingine bila masilahi yake kwanza US hawezi kuingia kwenye vita ambayo Russia imo nayeye anaogopa uchumi wake kuanguka, katika hiyo vita aina mshindi walimpa kibri kafikiri watamsaidia masikini kaingia cha kike.
Hii ndio ile demu wako kamchokoza baunsa club af anategemea wewe umpiganie😂😂😂
 
Yaani tusababishe vita ya dunia kisa Ukraine? Never. Ukraine wapambane tu kwenye uwanja wa vita. Sisi western tunamwekea vikwazo vya uchumi Urusi.
Poleni sana 😁😁

Mbona mwanzo wa mgogoro magharibi mlijidai mpo bega kwa bega na Ukraine hadi mkaitangazia dunia kuwa mmepeleka silaha hatari na jeshi mmesogeza?

Nasikia visilaha vyenu mlivyopeleka Ukraine Urusi kavilipua kama mtu anaevunja chungu 😋
 
Yaani tusababishe vita ya dunia kisa Ukraine? Never. Ukraine wapambane tu kwenye uwanja wa vita. Sisi western tunamwekea vikwazo vya uchumi Urusi.
Nyie Ni marafiki wanafiki[emoji4]
 
Nyie Ni marafiki wanafiki[emoji4]
Kabla ya kusikiliza marafiki. Inabidi ufikirie kwanza Sio kila kitu unasema Yes. Sasa Putin anamletea wa Chechinia. Lengo la Putin ni kumuondoa huyu Rais aliepo. Tena Putin anawashauri wanajeshi Ukraine wafanye coup d'état. Jirani alie karibu ni bora kuliko rafiki alie mbali. Alitakiwa amsikilize Putin na si Biden.
 
Bora hata umeliona Hilo,
Rais wa UKRAINE Ni kichwa maji Kama sio kakosa washaur wazuri
 
Back
Top Bottom