lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nikiambie kitu usichokijua kuhusu mkataba wa NATO.NATO huwa inapambana endapo mwanachama kavamiwa. Ukraine si mwanachama wa NATO.
Mwanachama yoyote akichokoza mwenyewe NATO haihusiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiambie kitu usichokijua kuhusu mkataba wa NATO.NATO huwa inapambana endapo mwanachama kavamiwa. Ukraine si mwanachama wa NATO.
Sasa dada yetu kipenzi kaanza kuelewa.Bora hata umeliona Hilo,
Rais wa UKRAINE Ni kichwa maji Kama sio kakosa washaur wazuri
IPO kwenye mkataba kabisa,kuwa mwanachama yoyote akichokoza vita NATO haihusiki.Nina wasiwasi sana na hii kauli kuna siku itatokea vita Ulaya na Nato watakula kona wakiona mziki mzito kwao. Nina wasiwasi sana kama member wa Nato angeshambuliwa wngekimbia pia
Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.Anamakombala ambayo hayazuiliwi namitambo yoyote ss akilituma ni1 kwa 1 had USA au GERMAN au PARIS.
UN ni Marekani, hata bajeti yake asilimia kubwa anatoa Marekani.Anae jua kazi ya UN please [emoji81][emoji81]au ndo pambo kama the league of nations
Nimeipenda gia yako ya angani, naona umeanza kuelewa siasa za NATO,USA na Urusi...Hapo Ukrane ni mhanga tu.Kabla ya kusikiliza marafiki. Inabidi ufikirie kwanza Sio kila kitu unasema Yes. Sasa Putin anamletea wa Chechinia. Lengo la Putin ni kumuondoa huyu Rais aliepo. Tena Putin anawashauri wanajeshi Ukraine wafanye coup d'état. Jirani alie karibu ni bora kuliko rafiki alie mbali. Alitakiwa amsikilize Putin na si Biden.
Gia ipi ya angani?Mimi huwa nadiscuss idea. Sina upande.Nimeipenda gia yako ya angani, naona umeanza kuelewa siasa za NATO,USA na Urusi...Hapo Ukrane ni mhanga tu.
Kingine yule Rais ni mchanga wa siasa na Propaganda za USA na NATO, mtu katoka kuchekesha kwenye tv hadi kuwa Rais ni bahati tu...
NATO walimteka mazima nae akajaa... Hakutumia ule msemo wa wahenga kuwa za kuambiwa Changanya na zako...
UN wanasubir wakimbizi iliwatoe misaada😁😁Anae jua kazi ya UN please [emoji81][emoji81]au ndo pambo kama the league of nations
Mkuu unanikumbusha - Mjumbe wa Kenya kajitutumua kulaumu Urusi - kaambulia nchi yake kufananishwa na mtoto anayetikisa mbuyu akaishia kuchezesha makalio yake tu.Weeeew! Weeee ewe hayo MAKOMBORA YA MRUSI usiombe, yakifyatuliwa yatapiga mpk KIBAHA MAILI 1 na NGARAMTONI
Haya tuambie Libya alimvamia member Gani wa Nato mpaka akapigwa vile na kuwatia kwenye madeniNATO huwa inapambana endapo mwanachama kavamiwa. Ukraine si mwanachama wa NATO.
Tuambie kwa nini USA alishindwa kuivamia Venezuera, sababu ya wakimbizi wengi Haina mashiko.Ni kweli Urusi ina Nguvu kubwa Sana za Kijeshi Tena Sana. Lakini hawezi hata siku moja kuthubutu kutumia kombola la Nyuklia kwenye Vita. Kombola la Nyuklia ni kwa ajili ya Duterrence(Kutishia). Kinachosababisha mpaka Sasa NATO washindwe Kuingia vitani kuisaidia Ukraine ni kwasababu Russia ana Nyuklia Waepons ambazo zikitumika Basi NO WINNER,All are LOSSERS.
Urusi ina Makombora 7500 ya Nyuklia kwa takwimu za NIT. Makombora 2500 yako tayari kufyatuliwa kuelekea Endeo lolote Lile Duniani litakapotumwa. Marekani ina Miji mikubwa 358 na Majimbo 54. Kombora Moja linaugeuza mji kuwa Majivu kabisa. Kama Mrusi akituma Makombora yote 2500 kuelekea Marekani,Basi ndani ya dakika 30 hakutakuwa na USA Duniani.
Kwa Upande Mwingine,Marekani ina Makombora ya Nyuklia 6800. Kati ya hayo, 3500 yako tayari kufyatuliwa ndani ya Dakika 5 wakipokea Order na Direction ya kuyafurumusha. Urusi ina Miji mikubwa 43. Endapo USA akiona Russia kashatuma Makombora Yake kuelekea Marekani na hakuna jinsi Basi ndani ya Dakika 5, Makombora 3500 ya Marekani yatakuwa njiani kuelekea Urusi kuteketeza Miji 43,Ndani ya Nusu saa hakutakuwa na Urusi Tena. Hiyo inaitwa MUTUAL ASSURED DESTRUCTION(MAD).
Haya Sasa,Tuseme wewe ni Raisi wa Russia,utarusha hayo Makombora kuelekea Marekani au utafanya juhudi za majadiliano?
Mwishoni mwa Vita baridi kabisa (1988) Nchi za Marekani na Urusi Zilikuwa na Akiba ya Makombora 127,000 (Laki moja na elfu ishirini na Saba). Kati ya hayo, 58,000 ya Urusi na 69,000 ya USA. Embu fikilia. Kombora Moja linafuta mji mmoja wa Dar. Je,Dunia ina Miji 127,000? Jibu ni Hapana.
Kwahiyo ndugu yangu usiwe na tempa unapokuwa unachangia hizi maada,tumia Logic utaelewa tu.
Urusi na Marekani wanajuana,wakikutana Anga Furani Kila mmoja anaangalia Nani anamaslahi makubwa na anamwachia ili kuepusha Vita.
Georgia Mwaka 2008 Marekani hakuingiza mguu kusaidia Nchi hiyo dhidi ya Uvamizi wa Russia kwasababu Marekani anajua hapo Russia ana maslahi Makubwa.
Iraq mwaka 2001 Russia hakutia Mguu kwasababu Marekani alikuwa na Maslahi Makubwa.
Libya mwaka 2011 Russia hakutia Mguu kwasababu USA alikuwa na Maslahi Makubwa.
Venezuera Marekani aliogopa Msululu wa wakimbizi kumiminika nchini Marekani hata Kama angeliamua Vita Urusi angelipisha Coz pale ni Maslahi Makubwa ya kiusalama kwa USA.
Syria pale Wote Urusi na USA wanamaslahi na ndio maana mpaka Sasa wameigawana kijanja. Urusi inamhitaji Assad kwasababu Anamdai pesa ndefu. Marekani anahitaji Mafuta ndio maana mpaka leo Majeshi ya Marekani yapo Syria kulinda Visima vya Mafuta.
Kuhusu Ukraine,hata Marekani anajua kabisa Maslahi ya Urusi ni Makubwa kwahiyo lazima akae pembeni. Atashiriki tu kijanja lakini sio moja kwa moja.
MTz 255Dar.
Libya ni UN ilipigwa kura. Na kipindi hicho Putin hakuwa Rais. Iam Sure Putin angekuwa Rais angeweka veto yake pale na Libya isingevamiwa. Hata sasa UN wana uwezo wa kuitisha kura ila sema si US wala EU wala Uk anaetaka kwenda kupigana dhidi ya Russia. Maana hawataki vita ya dunia. Tokea 1939 hadi 2022 teknolojia imekuwa sana. Watu wana silaha za kuua dunia nzima. Watu hawataki vita ya dunia. C'est la Russie en face,ce n'est pas n'importe qui. Russia is not Libya.Haya tuambie Libya alimvamia member Gani wa Nato mpaka akapigwa vile na kuwatia kwenye madeni
Tena atatumia kilainishi cha magari grisiPutin kasema atakae amlia marinda halali yake naona majogoo ya Ulaya na Marekani kimyaaa