Kwan umelazimishwa kuamini? Najua wewe ni pro US tulia dawa iingie blaza Putin yupo bize anagawa makonzi kwanza kwa dogo jeuri.Kuna mmoja aliandika jana eti mataifa kama Russia ni haki na halali yawepo ili ^kubalansi shobo^ za Mmarekani! I can't agree more! 🙂