Ukuraini ni jinga kabisa lini US ijitoe kusaidia nchi nyingine bila masilahi yake kwanza US hawezi kuingia kwenye vita ambayo Russia imo nayeye anaogopa uchumi wake kuanguka, katika hiyo vita aina mshindi walimpa kibri kafikiri watamsaidia masikini kaingia cha kike.Yaani tusababishe vita ya dunia kisa Ukraine ?Never. Ukraine wapambane tu kwenye uwanja wa vita. Sisi western tunamwekea vikwazo vya uchumi Urusi.
UN mbona hawana jipya kila siku Israel anaichapa gaza na kupanua makazi wanakemea kama mbwa jioga. Huku marekani akiunga mkono kuwa ni haki ya Israel kujilinda. Sasa na kwahili ni Haki ya Russia kujilinda watulize makalio mbwa hao.Anae jua kazi ya UN please [emoji81][emoji81]au ndo pambo kama the league of nations
😂😂😂😂😂😂😂 hahahah wameusikia ujumbe wa mwanaume! Atakaeshoboka wazungu ndaniPutin kasema atakae amlia marinda halali yake naona majogoo ya ulaya na marekani kimyaaa
Hii ndio ile demu wako kamchokoza baunsa club af anategemea wewe umpiganie😂😂😂Ukuraini ni jinga kabisa lini US ijitoe kusaidia nchi nyingine bila masilahi yake kwanza US hawezi kuingia kwenye vita ambayo Russia imo nayeye anaogopa uchumi wake kuanguka, katika hiyo vita aina mshindi walimpa kibri kafikiri watamsaidia masikini kaingia cha kike.
Anae jua kazi ya UN please [emoji81][emoji81]au ndo pambo kama the league of nations
Yaani tusababishe vita ya dunia kisa Ukraine ?Never. Ukraine wapambane tu kwenye uwanja wa vita. Sisi western tunamwekea vikwazo vya uchumi Urusi.
Wala sio gia angani.Huo mpango upo tangu zamani.mmebadilishia gia angani mara hii[emoji2960]
Anamakombala ambayo hayazuiliwi namitambo yoyote ss akilituma ni1 kwa 1 had USA au GERMAN au PARIS.
Nyie Wanafiki sana na NATO yenuYaani tusababishe vita ya dunia kisa Ukraine ?Never. Ukraine wapambane tu kwenye uwanja wa vita. Sisi western tunamwekea vikwazo vya uchumi Urusi.
NATO huwa inapambana endapo mwanachama kavamiwa. Ukraine si mwanachama wa NATO.Nyie Wanafiki sana na NATO yenu
Poleni sana 😁😁Yaani tusababishe vita ya dunia kisa Ukraine? Never. Ukraine wapambane tu kwenye uwanja wa vita. Sisi western tunamwekea vikwazo vya uchumi Urusi.
Nina wasiwasi sana na hii kauli kuna siku itatokea vita Ulaya na Nato watakula kona wakiona mziki mzito kwao. Nina wasiwasi sana kama member wa Nato angeshambuliwa wngekimbia piaNATO huwa inapambana endapo mwanachama kavamiwa. Ukraine si mwanachama wa NATO.
Nyie Ni marafiki wanafiki[emoji4]Yaani tusababishe vita ya dunia kisa Ukraine? Never. Ukraine wapambane tu kwenye uwanja wa vita. Sisi western tunamwekea vikwazo vya uchumi Urusi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamna mkate mgumu mbele ya chaiNato wenyewe washalegeza kamba
Kabla ya kusikiliza marafiki. Inabidi ufikirie kwanza Sio kila kitu unasema Yes. Sasa Putin anamletea wa Chechinia. Lengo la Putin ni kumuondoa huyu Rais aliepo. Tena Putin anawashauri wanajeshi Ukraine wafanye coup d'état. Jirani alie karibu ni bora kuliko rafiki alie mbali. Alitakiwa amsikilize Putin na si Biden.Nyie Ni marafiki wanafiki[emoji4]
Bora hata umeliona Hilo,Kabla ya kusikiliza marafiki. Inabidi ufikirie kwanza Sio kila kitu unasema Yes. Sasa Putin anamletea wa Chechinia. Lengo la Putin ni kumuondoa huyu Rais aliepo. Tena Putin anawashauri wanajeshi Ukraine wafanye coup d'état. Jirani alie karibu ni bora kuliko rafiki alie mbali. Alitakiwa amsikilize Putin na si Biden.