Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

A joke from Moscow: "According to Putin the special military operation is really a conflict btw Russia and NATO about World dominance. Whats the situation now?" "Russia has lost 15000 troops, 6 generals, 500 tanks, 3 ships, 100 planes and 1000 trucks. NATO hasn't arrived yet."
Sizo takwimu umezipata wapi.this is according to Russia defence ministry
Screenshot_20220325-224409.jpg
 
Watanzania wasivyokuwa na kazi basi vijiweni wamefanya vita ya Urusi na Ukraine kuwa ushabiki wa Yanga na Simba. Hivi hamuwezi kupata kitu cha kufanya? Mbona methali inayosema "ndugu wakigombana chukuwa jembe ukalime" ni yetu sisi Waswahili?
We mwenye kazi unafanya Nini kwny huu uzi.
 
Urusi yeye anajivunia Hypersonics na Nukes na Defences, hana offence power na ndo maana NATO wakaona wamzunguke ili iwe rahisi kumpiga kwa kutumia vibomu vidogo
NATO walioshindwa syria wataweza Russia? Nyie mnatunga vichekesho au.?
 
Kutwa kucha Ulaya na nato wanapiga filimbi wanamsaidia Ukraine kwa silaha, intelligence info, satellite services , na ushauri wa kivita halafu mnatwambia Ukraine wapandisha viwango vya medani ya vita?
 
Kutwa kucha Ulaya na nato wanapiga filimbi wanamsaidia Ukraine kwa silaha, intelligence info, satellite services , na ushauri wa kivita halafu mnatwambia Ukraine wapandisha viwango vya medani ya vita?
Medani ni uwezo ( holding out against the invaders ) maana yake ana uwezo wa ku utilise taarifa zote za ujasusi, kutumia silaha za msaada na mbinu zote zinazoitajika kwenye uwanja wa vita. Media war pia wamewin wakisaidiwa na wazee wa michongo aka mabeberu kulinda heshima na uhuru wa taifa lao hichi kitu wabongo weng hamjali
 
Wewe unaamini majeshi ya NATO hayajapenyezwa?Kwa mtazamo wangu miongoni mwa wanaosemwa raia kitoka nchi tofauti wameenda kujitolea watakua wanajeshi wa NATO.
Mimi ni team Zelensky ingekua unachosema ni kweli, basi hao wanajeshi wote wangeuawa. Nato wametugeuka, tumeomba no fly zone wanetunyima, tumeomba majeshi yao yaingie wametukatalia. Urusi mpaka leo wameikalia Ukraine kama nchi yao.. raia ndio wanageuka wakimbizi.
 
Back
Top Bottom